Pre GE2025 Kwa huu utitiri wa miradi aliyomwaga Rais Samia mkoa wa Mwanza, angekuwa anatokea kanda ya Ziwa wapinzani wangesema anapendelea kwao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii barabara ya Mwanangwa-Misasi-Salawe-Solwa-Kahama (150Km) imefikia wapi kwa mwenye infos.
 
Yaani wewe unaona watu wa Mwanza ni wajinga kiasi hiki. unajiandikia mambo ya kipuuzi tu.

Baada ya kusifia hayo tueleze na anavyoiba na kujenga viwanda vya familia.´Morogoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…