Pre GE2025 Kwa huu utitiri wa miradi aliyomwaga Rais Samia mkoa wa Mwanza, angekuwa anatokea kanda ya Ziwa wapinzani wangesema anapendelea kwao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Vyote ulivyotaja anyway vivuko si JPM alikua analalamikiwa kumpa tenda nyingi songolo au umejisahaulisha. Soko kuu Mwanza ujenzi ushaanza zamani ila umedhoofishwa weee kumbe ndo mmekuja kuunganisha hapa
Una uhakika au umekaririshwa ujinga? Nikupe data?
 
Nyanya mbovu hakuna mradi wowote aliobuni zaidi ya kurudisha uchifu sawa sawa na maagizo ya wajomba zake wakina bushiri wa oman
 
Kupeleka maendeleo sehemu yoyote kiutawala na kulihitajika si vibaya.Lakini,wanasiasa hawaaminiki.Kuna lengo fiche.Population factor na sympathy ya eneo hilo vinahitajika kwa matumizi mema ya baaden.Hakuna mjinga hapo.Ni win-win situation,basi!
 
Leo nawapa Wananchi uhalisia wa Mwanza
Wee CHAWA unajitahidi kufanya kazi uliyotumwa kisayansi zaidi, maana unaweka na vielelezo kabisa, ingawa vingi ni vya mchongo!!

Angalau malipo wanayokupa unayatendea haki.

Umewazidi wale machawa wachovu wa maneno matupu ya uongo akina Tlaatlaah Lucas Mwashambwa, nk
 
Wewe bwege Mimi sio chawa.

Huwa sifanyi vitu Kwa stori za vijiweni Bali Kwa weledi, takwimu na facts.
 
Dodoma ni Capital City Kila kitu kinajieleza ukienda pale.

Leo nawapa Wananchi uhalisia wa Mwanza inavyopigwa mbeleko na Serikali ya Samia kushinda waliotangulia.
Usingeizungumzia Dodoma hivyo....
Ningefuta comment yanguπŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…