Kwani ni mkoa gani ambao hawajengi barabara za mtaa?!
Mkoa gani ambao hawajengi hospitali na vituo vya afya?!
Mkoa gani ambao hawajengi shule?!
Mkoa gani ambao hawana miradi ya maji?!
Mkoa gani ambao hauna miradi ya umeme?!
Acha kumpa sifa bure Mwanza ni jiji lililotengwa na awamu ya sita
Hakuna miradi mipya tofauti na aliyoacha JPM, ukisema barabara hakuna mkoa usio mradi wa barabara!
La uwanja wa ndege lenyewe hata nisiseme ni aibu angekuwa JPM huo uwanja ungekuwa na hadhi nyingine kabisa!.
Hebu tupunguze sifa kwa vitu ambavyo kila mmoja anaona na kuchambua mwenyewe!.