Pre GE2025 Kwa huu utitiri wa miradi aliyomwaga Rais Samia mkoa wa Mwanza, angekuwa anatokea kanda ya Ziwa wapinzani wangesema anapendelea kwao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ungekuwa na akili na kiwango stahiki ningechukua muda kukuonyesha zilipo. Lakini kupoteza muda na taahira kama wewe, muda huo haupo.
Akili ulizonazo wewe ni zipi? Mbona naona unaandika pumba Toka awali? Onyesha hizo akili zako.
 
Umekopi kwny irani ya ccm ukatuletea kama ilivyo.

15.mradi wa hungumalwa_Magu haupo..hamna chochote kinaendelea
Wewe acha ujinga,kwamba umesafiri Mwanzo mwisho wa Barabara ukakuta hakuna kinachoendelea wakati Serikali imeisha engage Mkandarasi?

Pili hakuna nilipokopi ndio maana Huwa naweka na ushahidi.

Mwisho uwe unaelewa neno ujenzi Kwa awamu πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Huko Moshi kuna kipande cha barabara km 8 tu wananchi wanaomba kiwekwe lami tangu 1970s lakini wapi. Kweli CCM wana maeneo yao ya kuendeleza.
 
Huko Moshi kuna kipande cha barabara km 8 tu wananchi wanaomba kiwekwe lami tangu 1970s lakini wapi. Kweli CCM wana maeneo yao ya kuendeleza.
Nchi Ina mahitaji makubwa ya Barabara kuu na za muhimu kuliko hicho kipande Cha km 8.
 
Msafara wa Mangula wazomewa Mwanza
 
Mimi niko Mwanza ila tukiachana na Daraja la JPM ambalo awamu ya sita inalimalizia sioni kitu chochote kipya.

Vyote ulivyotaja vilianzishwa na kutekelezwa na serikali zilizotangulia, Samia ametutenga sana wananchi wa Mwanza.
 
Sure huyu ana afadhali mara kadhaa kuliko hao, mara nyingi mawasilisho yakr yanakuwa na uhalisia na wakati mwingine anakuwa neutral na wakati mwingine anakosoa.
Ila bado ananbaki na sifa yake ya msingi.
 
Kuna watanzania wanasikitisha sana,,,hawa ndo wanaoshangilia hadi matundu ya vyoo
 
Sitaki vingi nitajie kimoja tuu ambacho kilianzishwa na kutekelezwa na Serikali zilizopita.

Watu kama nyie msiotumia akili Huwa nawapenda sana,nitajie hicho kimoja.
 
Kuna watanzania wanasikitisha sana,,,hawa ndo wanaoshangilia hadi matundu ya vyoo
Wewe Kwa akili Yako ulitaka washangilie nini ikiwa matundu ya vyoo hayakuwepo na Sasa yamejengwa?

Nimemjibu huyo mwenzio asiyetumia akili kwamba ajue kutofautisha 2 na 3 .Kama wengine walifanya 2 ,this time ni 3
 
Sure huyu ana afadhali mara kadhaa kuliko hao, mara nyingi mawasilisho yakr yanakuwa na uhalisia na wakati mwingine anakuwa neutral na wakati mwingine anakosoa.
Ila bado ananbaki na sifa yake ya msingi.
Siko hapa Kufanya propaganda au kuwa neutral sijui blaa blaa gani Bali kuonesha kile Serikali ya mama imefanya maana Huwa mnajifanyga hamuoni 😁😁

Mwisho acheni uvivu wa kufikiria na kutafuta taarifa, habari zote za nini Serikali inafanya au imepanga kufanya ziko kwenye kurasa za serikali za wazi na Kila mtu anaweza ku access.
 
Ata kama mabomba ya maji yatatoa maziwa hakuna mtu atamkumbuka labda arudishe utawala kwa wananchii kwa kuruhusu mchakato wa katiba mpya.kuliko kila siku tunaambiwa kila kitu tunapewa na raisi.
 
Ata kama mabomba ya maji yatatoa maziwa hakuna mtu atamkumbuka labda arudishe utawala kwa wananchii kwa kuruhusu mchakato wa katiba mpya.kuliko kila siku tunaambiwa kila kitu tunapewa na raisi.
Pole sana Mkuu,vumilia hii Ngoma ni Hadi 2030 na kazi inaendelea πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/AnnaSarungi/status/1847171354623127995?t=EusBlg4GcvwL12ZLStyC8g&s=19
Mwisho,kazi ya Rais ni kutimiza wajibu wake Kwa Wananchi kadiri ya ilani sio swala la wewe kumbukumbuka au laa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…