Pre GE2025 Kwa huu utitiri wa miradi aliyomwaga Rais Samia mkoa wa Mwanza, angekuwa anatokea kanda ya Ziwa wapinzani wangesema anapendelea kwao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwanza Mko nyuma sana,hapa mshukuruni mama ameamua kuwahwshumisha
Mwanza iko mbele sana nyuma ya dar kabla hata ya huyo mama yako, Kikwete alikuja mwanza 2012 akashangaa jinsi jiji lilivyoshamali na kukua maradufu, yeye mwenyewe akatamka ianzishwe manispaa ya ilemela na 2013 yeye mwenyewe akaizindua. Mwanza inajibeba yenyewe.
 
Acha kuleta vichekesho vya kipuuzi basi.

Mwanza imepigwa na Dodoma na Arusha ,,umbele wa Mwanza ni idadi ya watu tuu.
 
Acha kuleta vichekesho vya kipuuzi basi.

Mwanza imepigwa na Dodoma na Arusha ,,umbele wa Mwanza ni idadi ya watu tuu.
Ipatikane manispaa nyingine ndani ya arusha na dodoma ndo kwa mbaaali watafikia maendelea ya mwanza ya miaka 13 iliyopita na wakati huo mwanza jiji itakuwa na manispaa nne, kwa hiyo mnatwanga maji kwenye kinuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwanza Ina maendeleo gani Sasa kuzidi Majiji hayo wakati pamoja na Manispaa hizo 2 zilizojaa maskini hamuwezi hata kufikia Mapato ya Dom na Arusha
 
Mwanza Ina maendeleo gani Sasa kuzidi Majiji hayo wakati pamoja na Manispaa hizo 2 zilizojaa maskini hamuwezi hata kufikia Mapato ya Dom na Arusha
wewe komaa na umaskini wako + utapia mlo, sema nakufaa usisema tunakufaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwanza jiji haina makodi ya kausha ndo maana jiji na wakazi wake linapaa tu na GDP ya Mwanza inazilambisha mchanga hiyo miji inayokusanya mapato kwa kodi za kausha damu.
 
Mapicha picha mnaweza, subiri miradi yenyewe iishe muone, mje na mipicha hii tulinganishe.

Tungemsifu tu, kama angeruhusu uchaguzi huru.

Haya maigizo mengine yeyote anaweza kwa pesa za walipa kodi.
 
Chawa ni kura za wasukuma hata Nyerere wanasema katoma Mwanza
 
Mapicha picha manweza, subiri miradi yenyewe iishe muone, mje na mipicha hii tulinganishe.

Tungemsifu tu, kama angeruhusu uchaguzi huru.

Haya maigizo mengine yeyote anaweza kwa pesa za walipa kodi.
Sio tuu picha Bali video za hatua za utekelezaji lazima kuonesha waleambao wako mbali ni maeneo hayo bila kusubiria Hadi miradi iishe,tutajuaje progress?
 
Jikite kwenye hoja,muwe mnatumia akili nyie Machadema na muwenasoma alama za nyakati,watawadhalilisha sana

Chawa Mimi sio chadema nenda kaangalie profile yangu toka 2006. Mama anatamaliza muda wake na kusahaulika kama mtangulizi wake na familia yake itatajirika kwa miradi na mikataba ya siri nyie mtabaki na uchawa wenu na kulalama hali ngumu ya maisha

Kama una akili mshaurini katiba mpya na mifumo bora bila hivyo itakula kwenu. Fikirieni watu na sio uchawa kila wakati
 
Watu hawali GDP,Barabara hazijengwi Kwa GDP.

Mwanza Bado sana Kwa Dom na Arusha.
 
Ili mtu uweze kuishi inahitaji uwe na Bilioni ngapi? 🀣🀣🀣🀣

Si ajabu mnakufa mapema sana kushinda watu maskini wa Vijijini Kwa sababu mnakula GMO.

Mimi sitaweza sababu awamu ya SSH.
 
Sio tuu picha Bali video za hatua za utekelezaji lazima kuonesha waleambao wako mbali ni maeneo hayo bila kusubiria Hadi miradi iishe,tutajuaje progress?
Hahaha sisi wa kanda ya ziwa tunafahamu Bila Magufuli hata mbegu za pamba wangepeleka Zanzibar. Kura zetu labda mzinunue, hatupigii kura raia wa kigeni.
 
Watu hawali GDP,Barabara hazijengwi Kwa GDP.

Mwanza Bado sana Kwa Dom na Arusha.
wala watu hawali ushuru na tozo kausha damu za halmashauri, barabara hazijengwi na viushuru vya kuwakamua wauza bamia wa sokoni.

Dom na Arusha watoto wadogo sana kwa Mwanza, Hata kwa kuchangia pato la taifa wanalambishwa mchanga vibaya mno na Mwanza, wanachangia kiduchu sana, yaani kwa kifupi hawana msaada kwa taifa.
 
Mtoa punguza ushabiki, mwanza imetelekezwa na serikali miradi unayosema ya shule, maji, afya, hiyo ni universal na pia ni kwa levels za grammar schools, lakini shule za tertiary education, mwanza hakuna, vitu vinavyoleta watu wengi na fedha mwanza hakuna ( Utalii) sanane ile tumeachiwa na wazungu , Hadi Leo Haina promotion yeyote, miji ya milimani hiyo ingekuwa arranged na kuwa decorated kufanya mji kuwa wa kitalii , mwanza ingependeza Sana na kuvuta watu wengi mnooooooo, na biashara zingetembea,kwa hiyo majivuno yako ni Bure miradi hiyo IPO kil mahali,nifikiru Kuna miradi unique Sana mmeleta
 
Natamani siku moja mje na mpango wa kubomoa nyumba zote za milimani halafu zijengwe kwa ramani ya umbo la samaki zote, halafu kumbi zote na guest house zijengwe kw umbo la meli,kweli tungesema ,Hakika MWANZA WAMEPENDELEWA na serikali awamu ya 6.
Lakini Sasa vinavyofanyika na Kama ni kweli lakini,ni vya kawaida (universal),vilitakiwa kuwepo,Bali tukanyimwa tuuuuuuuu,miaka mingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…