Kwa huu wimbo wa Halelluja wa Diamondi tutegemee Seduce ya Alikiba kuendelea kuwa wimbo unaopendwa sana

Anaebishana na ww hana akili.Koment zako tu unaonesha huna uelewa.Akili zako ziko kwenye papuchi ya mange mkuu...ila huu msumari umewachoma kotekote
Ukiona mtu anakimbilia kwenye Ku rate akili ya mtu basi ujue ni shida yake mwenyewe, kwa sababu mtu huongea lile linalomsibu. Halafu kugeuzwa Hallelujah = Utukufu kwa Mungu Juu kuwa nyimbo za kaisari ni dhihaka kwa Mungu.
Halafu Mkuu njoo huku upanue uelewa.
 
Sasa kosa lake nn hapo kusema anacho kiona tatzo la wa bongo tuna kalili atuelew alicho sema nikwel huu wimbo hauwez kukaa masikion mala 3 kwa siku tofaut
 
seduce me like what th hell[emoji23][emoji23][emoji23]
mara wananiita kipusa
pasua kichwa
mr misifa

yani kiba haeleweki,
 
Alikiba akafungue duka la madera tu mziki unaye mwenyewe na mwenyewe ndio chibu........alikiba ataishia kuwa super star wa fiesta tu basi.

Team kiba na mange mavi yatawakauka safari hii.
 
Asante kwa taarifa
 
Upo sahihi. Nimeusikiliza kwa makini sijaona kitu cha uushinda seduce me. Kusema kuwa huu wimbo umevinja record ya kuwa na viewers wengi kwa muda mfupi kulinganisha na seduce me ni kwa sababu watu wengi wako interested ni wimbo gani huo atautoa ambao utauzidi seduce me. Mm ni mmoja wapo niliouview ili kuona ni wimbo gani huo but nikaona ni wa kawaida sana ambao ni itapita wiki moja tu air mbili hautasikika tena na seduce me itaendelea ku trend.
 



Wew Huyo Mp.KIBAka unayesema seduce itahit ameikop na kupest from Philippines na ndo ajiite msanii,now zilipendwa imeiacha seduce me kwa views 0.45 millions wakat ilitangulia kutoka usiwe mpyoyoyo kuwa na mantiki on wat you guess. Sasa hallelujah inakimbiza view achaaaaa.wote Wa tz na nauhakika kiba anatembelea nyota ya Domo kama ilivyokuwa kwa raykigos kwa kanumba. Sure nakwambia kiba kabla ya kusikiliza ushauli Wa mind kwenye interview sake anazowashauli singer wenzake asikekuwa haya na bajaj
 
Unajua tofauti ya YouTube kawaida na VEVO? kaangalie Mastaa Wa kweli wako wapi Na ma underground wako wapi. Domo kakomaa YouTube kawaida kwa sababu kule unanunua views.
Mfuasi wa mange kimambi
 
Unajua tofauti ya YouTube kawaida na VEVO? kaangalie Mastaa Wa kweli wako wapi Na ma underground wako wapi. Domo kakomaa YouTube kawaida kwa sababu kule unanunua views.
Maskini mange ana haribu nguvi kazi ya taifa.
 

Mie mgeni mitaa hii, kwani Seduce Me na Zilipendwa ipi inatrend kwa sasa?niliusikia kwa kasi Seduce Me kwa kama wiki mbili kisha ukatulia.
 
Duu kweli we mgeni mitaa hii.
Ni kweli mkubwa, labda sababu ya ugeni wangu!

Alikiba - Seduce Me (Official Music Video)
AlikibaVEVO 6,286,465 views

DIAMOND PLATNUMZ, HARMONIZE, RICH MAVOKO, RAYVANNY - ZILIPENDWA (OFFICIAL VIDEO)
Diamond Platnumz 6,720,928 views

Ingekuwa kwenye siasa basi tungesema momentum ya Seduce Me iliishaisha ndani ya wiki mbili.
 
Tukubali tukatae, Alikiba anajua kuimba kuliko Diamond, Seduce me kaimba Alikiba pekee yake lakini angalia balaa lake, huyu Diamond katoa kollabo/featuring mbili lakini sijaona cha maana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawataki kukubali ukweli tatizo watakwambia "haters" sasa na wao kwa alikiba tuwaiteje

Sent from my A500s using JamiiForums mobile app
 
Na mtaani zilipendwa inakimbiza vbaya hadi vjijin ndanndani uko
 
Mitaa ipi hiyo unayoongelea? Au wewe unadhani mitaa unayoishi ndio Dunia nzima? Mwambieni huyo domo alionesha Udhaifu mkubwa Sana kutoa linyimbo siku Kiba katoa Seduce me.
Ndo kilichom coast domo[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…