ntemintale
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 952
- 1,874
Ukiona mtu anakimbilia kwenye Ku rate akili ya mtu basi ujue ni shida yake mwenyewe, kwa sababu mtu huongea lile linalomsibu. Halafu kugeuzwa Hallelujah = Utukufu kwa Mungu Juu kuwa nyimbo za kaisari ni dhihaka kwa Mungu.Anaebishana na ww hana akili.Koment zako tu unaonesha huna uelewa.Akili zako ziko kwenye papuchi ya mange mkuu...ila huu msumari umewachoma kotekote
Halafu Mkuu njoo huku upanue uelewa.