kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Unatumia fact gan ku prove ulichokisema......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawataki kukubali ukweli tatizo watakwambia "haters" sasa na wao kwa alikiba tuwaiteje
Sent from my A500s using JamiiForums mobile app
Usijali nitamfikishia dukuduku lakoKwa sasa ni kama anabahatisha kuimba tu
Wasimamizi wake nao inaonekana hawamshauri kwa lolote kuhusu nyimbo anazotoa
Wote tumeshuhudia akitoa nyimbo kama i miss you, Fire,eneka,na zilipendwa lakini bado zilishindwa kufanya vizuri
Sasa tunaona juzi kaja na halelujah na inaonekana lengo la huu wimbo ni kuizima seduce me ya kiba ambao unapendwa kote Afrika na duniani kiujumla
Wimbo ungekuwa mzuri sana kama angemtumia mogani vizuri katika huo wimbo badala yake ameimba nae kama anavyoimba na kina rich, rayvany, na hamonize
Na tutegemee kama kiba hajatoa ngoma kama ilivyo kawaida yake huu wimbo hautafikisha views milioni tano kama ilivyotokea kwa eneka,fire,na i miss you
Yaani umeimba Kiingereza ili mtu ajue umeimba Kiingereza tu lakini wimbo unatoka masikioni haraka huwezi kuusikiliza mara tatu
So mwaaaaaaTukubali tukatae, Alikiba anajua kuimba kuliko Diamond, Seduce me kaimba Alikiba pekee yake lakini angalia balaa lake, huyu Diamond katoa kollabo/featuring mbili lakini sijaona cha maana.
MCHAGA NA MUZIKI WAPI NA WAPI? NENDA KANYE HUKO...Kwa sasa ni kama anabahatisha kuimba tu
Wasimamizi wake nao inaonekana hawamshauri kwa lolote kuhusu nyimbo anazotoa
Wote tumeshuhudia akitoa nyimbo kama i miss you, Fire,eneka,na zilipendwa lakini bado zilishindwa kufanya vizuri
Sasa tunaona juzi kaja na halelujah na inaonekana lengo la huu wimbo ni kuizima seduce me ya kiba ambao unapendwa kote Afrika na duniani kiujumla
Wimbo ungekuwa mzuri sana kama angemtumia mogani vizuri katika huo wimbo badala yake ameimba nae kama anavyoimba na kina rich, rayvany, na hamonize
Na tutegemee kama kiba hajatoa ngoma kama ilivyo kawaida yake huu wimbo hautafikisha views milioni tano kama ilivyotokea kwa eneka,fire,na i miss you
Yaani umeimba Kiingereza ili mtu ajue umeimba Kiingereza tu lakini wimbo unatoka masikioni haraka huwezi kuusikiliza mara tatu
[emoji106]Asubuhi yote hii unaamka kuja kumponda anaejitahidi kutafuta riziki yake,unajitofautishaje na mchawi.??
Hajamuibia mtu wimbo.
Hujamchangia chochote.
Just enjoy the music,just listen,huna haja ya kuwa mchambuzi wa muziki.
Sikiliza seduce me,sikiliza Hallelujah,sikiliza nyimbo zote zitokazo,then enjoy life vile umepata nafasi ya kusikiliza good music.
Hujui muziki ni dawa ya roho kijana.
[emoji106]Hizi roho mbaya mtakuja kufa maskini.
Diamond ni kijana anaye hustle kutafuta pesa.
Wewe kazi yako ni kuamka saa 1 asubuhi kumfungulia uzi..
Mpaka hapo hujaona tofauti tu?