mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
Tumpeee mudaaaa.....Wakuu huyu Ayoub Lakred hamna kitu. Tujiandae kufungwa goli za kutosha msimu huu.
Lile ni zaidi ya pazia
Hapana ukweli usemwe tu, pale Hakuna kipa.
Kadake wewe basi.Hapana ukweli usemwe tu, pale Hakuna kipa.
Yaah team haina muunganikoKipa hana tatizo, timu nzima inahitaji kuwa serious.
So far this is football wapunguze makosa, makundi tunatimba.
Bora haya yameonekana ugenini ili wayasahihishe kabla ya marudiano
Hujui mpira wewe..! Kojoa ukalaleWakuu huyu Ayoub Lakred hamna kitu. Tujiandae kufungwa goli za kutosha msimu huu.
Lile ni zaidi ya pazia
Wewe ni unafahamu mpira..! Wengi siku hizi wanaongozwa na hisia tu. Sijaona kosa la golikipa pale, mpira umedunda ule. Kipa yeyote anafungwaKipa kadaka vizuri tuu goli kafungwa ni makosa madogo tuu ambayo yameanzia kwenye marking,deflection na mpira kudunda
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Sijasajiliwa Simba.Kadake wewe basi.