Kwa Huyu kipa Simba tumepigwa na kitu kizito

Kwa Huyu kipa Simba tumepigwa na kitu kizito

Kipa kadaka vizuri tuu goli kafungwa ni makosa madogo tuu ambayo yameanzia kwenye marking,deflection na mpira kudunda

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Wewe ni unafahamu mpira..! Wengi siku hizi wanaongozwa na hisia tu. Sijaona kosa la golikipa pale, mpira umedunda ule. Kipa yeyote anafungwa
 
Back
Top Bottom