Kwa huyu Kocha mpya Simba SC mmepigwa tena, mjiandae kisaikolojia kukosa mataji msimu ujao

Japokua PM sio mkweli Sana ninaaza kuelewa kwann alilalamika nchini wachambuzi niwengi Sana wasoka
 
kocha mpya wa simba ni hatari nasikia anaweza kupangakikosi bila kipa na akashinda,atafanya kibu denis awe kama messi,boko boko kama lewandowski na mhilu kuwa kama mane[emoji16][emoji16]
 
Mwanzoni nilifikiri Luc Eymael kuwaita Manyani ni uonevu. Kumbe alikuwa sahihi. Nyie kila kitu ni kubweka tu hata kwa jambo usilolijua.

Haya ebu twambie kisa cha Nabi kuja Yanga ni nini kama siyo kufuruhushwa na El merehk baada ya kipigo cha goli 4 , 1 Dar na sare ya 0, 0 katoum dhidi ya simba klabu bingwa Afrika.
 
Huyu jamaa hakukosea.
 
Makoloz yamekuja kuvamia uzi na kutoa mapovu kwa kasi ya ajabu.
 
Makoloz yamekuja kuvamia uzi na kutoa mapovu kwa kasi ya ajabu.
 
demigod nakubali sana nyuzi zako inabidi mods wakupe tuzo ya heshima kwa kutambua mchango wako Ktk jukwaa la michezo kwa kutoa madini ya uhakika.

Kongole sana mkuu kwa uchambuzi uliotukuka..
 
demigod nakubali sana nyuzi zako inabidi mods wakupe tuzo ya heshima kwa kutambua mchango wako Ktk jukwaa la michezo kwa kutoa madini ya uhakika.

Kongole sana mkuu kwa uchambuzi uliotukuka..
Umekuja Kumpongeza mbwa mwenzako akibweka bweka kama alivyowaita luc eymael
 
Umekuja Kumpongeza mbwa mwenzako akibweka bweka kama alivyowaita luc eymael
Huyu jamaa ni kichwa sana nyie hamjui tu Jf inatakiwa itambue mchango wa mtu kama huyu maana nyuzi zake huwa anafanya uchambuzi wa hali ya juu tena ngoja nimfollow kabisa .
 
Acha ramli chonganishi
 
Huyu jamaa ni kichwa sana nyie hamjui tu Jf inatakiwa itambue mchango wa mtu kama huyu maana nyuzi zake huwa anafanya uchambuzi wa hali ya juu tena ngoja nimfollow kabisa .
Tumuongeze kweny ile list ya watu wawili wenye akili hapo utopoloni au tumuache
Ngoja nikukumbushe luc alivyosema
"“"""Baadhi ya kauli hizo za Kocha Luc Eymael amesikika akitoa kauli za kuwashutumu Mashabiki kwamba hawana elimu, watu kwenye nchi hii ni wapumbavu, mashabiki hawajui mpira kazi yao ni kupiga kelele kama nyani na bata, Viongozi wa Klabu ni sifuri""""
 
Kwani Da Rosa hajamaliza tu kusoma wamrudishe Simba?
 
Wewe jamaa ni mshamba na limbukeni sana,Una ushabiki wa kipumbavu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…