Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Uchawi una nguvu Sana,jamaa Ni Kama limbwata linamhusuHivi mtu mpaka anakua na akili ya namna hii hua ni ugonjwa au ni tatizo la kurithi? [emoji848].. Ngoja niifanyie research hii!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchawi una nguvu Sana,jamaa Ni Kama limbwata linamhusuHivi mtu mpaka anakua na akili ya namna hii hua ni ugonjwa au ni tatizo la kurithi? [emoji848].. Ngoja niifanyie research hii!
Wewe ni zoba A.K.A tahira mkubwa
Huu n uongo Hamna kitu hapaJamaa anatuzuga tu akili hii habari Haina ukweli hata chembe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa akili kama hizi ni Halali watu wakope mahela benki watokomee kusikojulikana
Miaka 3 ulikuwa wachukua degree ya procurement auHuyu dada amenifundisha mengi sana. Kaniambia mapenzi si kugegedana tu. Ni more than that. Imagine nimemfuatilia miaka 3 kumbe ananipima aone kama kweli ninampenda.
Kanikubalia mwezi wa 7 huyu ila bado hajanipa papuchi. Anasema ananipima kama kweli nampenda au nataka kumchezea tu. Nimeona ananipenda sana maana sasa hivi kaniambia niwe nampa mshahara awe ananifanyia bajeti. Maana mimi nlikuwa natumia vibaya sana mshahara.
Ili kumwonesha uaminifu nimempa na ATM Card yangu ya CRDB. mshahara ukiingia anaangalia anipe tsh ngapi za matumizi nyingine anazitoa anaweka kwenye akaunt yake kuzitunza. Nimeona huyu anafaa kabisa kuwa mke.
Juzi juzi hapa nlimwomba nami angalau nione ndani... Alinibadilikia akaniambia naanza tabia za tamaa niache na nikome kabisa nisije shindwa mwishoni kabisa. Basi nikamwomba msamaha... Akawa bado amenuna nikakopa pesa kwa jamaa yangu 700,000 nikamfanyia shopping akakubali kunisamehe. Yaani huyu dada ana madeko. Nita enjoy sana nikimuwowa. Sipati picha.
Aliniambia Komeo una haraka ya nini wakati hiki ni chako tu nakutunzia wewe..... Nataka kirudi kiwe kipyaaaaaaaa for you. Daaah... Nikaona kweli dada ananipenda. Hadi shetani atakuwa anaona wivu sana. Nyie wanaume wengine mnapewa K ikiwa imechoooooka.. sababu hampendwi sisi wengine inavundikwa kwanza tukija pewa mpyaaaaaaaa mnato wote upo.
Sababu ya kujariwa. Na anasema hapo anaiweka hivyo ni kama kuivundika iive.... Nikija pewa miye si nitazimia kwa rahaaaaa? Sipati picha yaaani. Kuna watu tuna bahati ya mtende kuota jangwani. Nyie endeleeni tu kula madude yaliyojichokea. Sisi tunatengenezewa kakitumbua kalikovundikwa kalikowekwa hamira ya kutosha kamevimba.... Hatari sana....
Kijana ukiona umependa tu leo kesho unapewa k ujue huyo dada hakupendi na hakujali. Anataka kukuchezea tu. Usikubali.
Uchawi kweli upo. Hata akilala bahari sio kuogea chumvi huyu tushamkosaAiseh!
Huna mambo ya kufanya hadi dem akuweke friend zone miaka yote hiyo na kuwa uchumi zone kwa siku zote hizo!!?
Mapenzi ndugu yangu. Ananipima imaniMiaka 3 ulikuwa wachukua degree ya procurement au
🤣🤣🤣Na anasema hapo anaiweka hivyo ni kama kuivundika iive