Kwa huyu Mwanamke naamini Shetani anaona wivu kishenzi

Endelea hivyo hivyo huku hujijui kuwa unatumikishwa!
Kuna lijamaa linagegeda kwa ajili yako.
 
one man down.. ushatiwa ndani ya chupa.. kisha ikaenda tupwa nungwi
 
Daaah[emoji23][emoji23]hadi nmetukana
 
"'mshahara ukiingia anaangalia anipe tsh ngapi za matumizi nyingine ANAZITOA ANAZIWEKA KWENYE AKAUNTI YAKE"'

Ukitaka kuangalia pesa zako anakasilika sana halafu mwenye pesa anaomba msamaha.

Oya wakuu hivi lile GHARIKA la kipindi cha nuhu halikuwaua wanaume wote wenye akili hizi..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…