SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Yanga washukuru sana kuwa Simba ni wastaarabu.
Ukiangalia idadi na nafasi nyeti walizopo watu wa Simba ndani ya Yanga, kuanzia mwekezaji/mdhamini, baadhi ya wachezaji waliokuwa na mizizi ndani ya Simba hadi wasemaji, usishangae siku moja tukaamua tuipe Yanga aibu ya karne na hakuna wa kutuzuia.
Tumeanza kwa kuchakachua kwanza rangi zao ila kwa kuwa wamelewa asali wala hawajashtuka. Ngoja tuendelee kuwaaminisha mambo yako shwari na timu iko mikono salama, halafu boom, tunaweka rekodi mpya!
Namalizia kwa kunukuhu maneno ya msemaji wao wakati anamtambulisha Mshery "Mmesajili golikipa au Imam wa Msikiti?". Zingatia alisema MMESAJILI badala ya TUMESAJILI.