Kwa idadi ya watu wazito na matajiri wanaolitaka jimbo la Kawe kupitia CCM mwaka 2025, Bishop Gwajima anza kutuaga sasa wana Kawe

Halafu Bishop Gwajima nasikia kwa sasa unaomba sana Mungu mpango wa Mamlaka (Serikali) kuligawa Jimbo la Kawe ambapo kutakuwa na Kawe A litakaloishia Afrikana au Mbuyuni na kuwe na Jimbo lingine la Kawe B ambalo litaanzia Tegeta kwa Ndevu na litakaloijumuisha hadi Mapinga ambayo taarifa za chini chini zinasema kwamba kuna mpango wa kuihamisha Mapinga, Mingoyo na Zinga yaliyoko katika Mkoa wa Pwani.

Bishop Gwajima nina taarifa za uhakika kutoka kwa Watu wako wa karibu kuwa unaombea mno hili lifanikiwe ili Ugombee huko Kawe B ambako Unakubalika sana kwakuwa ndiko ambako Umesaidia na Kupajenga zaidi (bila kusahau na Sala Sala wanakoishi Ndugu zako wengi) kuliko Kawe A inayojumuisha Oysterbay, Masaki, Kawe ya Mzimuni, ya Wadoe na ya Ukwamani, Goba, Mbezi Beach, Kunduchi, Bahari Beach na Ununio ambako wala hukubaliki kwakuwa Umewasusa sana katika kuwaletea Maendeleo na hata kutatua Kero zao.

Bishop Gwajima endapo Mpango huu wa Kuligawa Jimbo la Kawe hautakamilika GENTAMYCINE nakushauri mapema katika Uchaguzi Mkuu ujao (2025) wala usipoteze muda wako Kuchukua tena Fomu CCM ili Ugombee kwani hutopata na hutokuwa na Ubavu wa Kushindana na Mkongwe Mmoja, Kada Mwandamizi, Msomi mkubwa wa Kisheria, Tajiri na mwenye Ushawishi mkubwa kwa Watu kutokana na Fedha zake nyingi ambazo hazina Kazi kwa sasa baada ya Kuzichota mno.

Na ninapozipendea Siasa za Tanzania ni kwamba GENTAMYCINE naweza kuwa nimeishi na kuzaliwa mfano Bariadi Shinyanga huku kwa mfano huo huo naweza nikawa naishi Masaki lakini bado pamoja na Mimi kuwa ni mwana Bariadi niishiye Masaki lakini naweza kuamua Kugombea Ubunge wa Kawe kupitia CCM na bado nikashinda.
Akuage wewe kama nani?
 
Tutakuwa tumempoteza mtu mwerevu sana Bungeni
Acha Unafiki na Uchawa wa Kipumbavu angekuwa Mwerevu Jimbo la Kawe lingekuwa nyuma Kimaendeleo huku kila Kukicha tu likiwa na Migogoro ya Ardhi ambayo huyu unayemuita Mwerevu kashindwa kuitatua huku Jimbo likiwa na Miundombinu mibovu? Nasisitiza tena acha Unafiki na Uchawa tafadhali sawa?
 
arudi kuhudumia kanisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha Unafiki na Uchawa wa Kipumbavu angekuwa Mwerevu Jimbo la Kawe lingekuwa nyuma Kimaendeleo huku kila Kukicha tu likiwa na Migogoro ya Ardhi ambayo huyu unayemuita Mwerevu kashindwa kuitatua huku Jimbo likiwa na Miundombinu mibovu? Nasisitiza tena acha Unafiki na Uchawa tafadhali sawa?
Lilikuwa nyuma kwa mzuzu mmoja kwa miaka 15 gwajima amepambana kwa miaka 4 sasa kawe inaeleweka. Mitano tena akamilishe ahadi zake.
 
Inasemekana eti alitapeli wakulungwa ili jina lipite kunako sasa wale wale wapo na kichinjio safari hii hawatamuonea huruma maana aliwekeza kwa mwenyekiti late CEO sasa hayupo na aliowaahidi jina bahati nzuri ndiyo hao wenye vichinjio hahaha hivyo ubunge asahau kabisa labda awatafute ateme mpunga wao ili mambo yaendelee bila hivyo never again wanasema waswahili
CCM kwenye Kura za maoni kinachomata NI pesa tu.

Gwajima kama anahitaji kushinda kweli Kura za maoni atashinda tu atachota pesa za mazezeta wake za sadaka atagawa Kwa wajumbe na watampigia Kura.

Usijisahaurishe Gwajima ameshinda Kwa Kura nyingi kuwa Mjumbe wa Nec kupitia kapu la Taifa ambako ni kugumu Sana.

CCM na rushwa ni kama uji na mgonjwa.

Hukumu ya Gwajima ipo Kwa wananchi, nyinyi peaneni rushwa CCM halafu msimamisheni Gwajima ndio mgombea wenu halafu ndio mtajuwa hamjui, vile vichinjio vya tume ya uchaguzi watu wamevihifadhi tu ndani.
 
Nitamuunga mkono! Gwajima hadi leo Kashindwa kujenga barabara kutoka Nyaishozi kwenda Nyamachabezi kila mvua ikinyesha haipitiki!
Na huyo mjusi wa macho kumchuzi ndo akipita bas atawa tengenezea barabarw? Kumbe huijui siasa ya Bongo lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom