Uchaguzi 2020 Kwa Ilani hii ya CHADEMA, CCM jiandaeni kuwa wapinzani baada ya kuanzia Oktoba 2020

Uchaguzi 2020 Kwa Ilani hii ya CHADEMA, CCM jiandaeni kuwa wapinzani baada ya kuanzia Oktoba 2020

Duhh mkuu unatakiwa kutambua sio critics wote ni CCM. Wengine wana criticize kwa nia njema tu ya kusaidia. Mimi sijawahi kuwa mwanchama wa CCM na siwezi kuwa hadi naenda kaburini. Ila inabidi mmebadilike hatutaki kuona CHADEMA waki entertain tabia zile zile za CCM ambazo tumekuwa tukizilalamikia wakati wanataka kuchukua dola. Kubalini kukosolewa na kushauriwa la sivyo mtakuwa hamna tofauti na jiwe na CCM.

Kuhusu ufafanuzi. Nadhani maelezo yangu yako clear. Sera ni nzuri but they are too generic. Any one can come up with such policies. What we need to know as voters is how CHADEMA is going to effect/execute these policies. Break down these policies into solution and implementation strategies..otherwise yanabaki kuwa nadharia tu.
Kama ni ufafanuzi tu utaupata kipindi ch kampeni usitie shaka ndugu!!7
 
Ni ilani nzuri ila vyote tayari tingatinga amefanya na ambavyo bado tunamchagua tena avimalizie.
Hongereni kwa kujaribu tuonane 2025
Umewahi kufanya biashara ya kuexport?mfano prawns vibali vyake ni ghali kuliko kununua hao prawns na wakati soko la dunia bei iko palepale...wafanya biashara wengi wameacha hiyo biashara wengine wamekimbilia Msumbiji kwenye cites kafungia vibali nk nk nyie vijana wadogo hamjui kitu watu walivyokuwa masikini ghafla na wengine walikuwa wamechukua mikopo benki nyumba zao zimeuzwa
 
Saafi sana, kuna waganga njaa wata-comment hata kabla ya kusoma na kuelewa
CCM ya sasa haina falsafa yeyote kiuchumi na kijamii. Siyo wajamaa, waliberali, wala wakusanya mitaji (capitalists). Wawopowapo tu. Wanategemea ndoto za viongozi na jinsi watakavyoamka au kushauriwa na wake zao.
 
Amani iwe nanyi wadau!

Ni dhahili kuwa mwaka huu 2020, Hatimaye Tanzania kwa mara ya kwanza tumepata Chama ambacho kina Sera sahihi za kutupeleka kwenda kwenye nchi tunayoitaka. Yaani” Tanzania Dream”

Ni dhahili pia kuwa baada ya sera za kijamaa za CCM zilizotufanya kuwa mafukara kwa karibu miaka 59 tangu uhuru sasa zimepata Sera mbadala za kutukomboa kweli na kuleta ustawi sahihi kwenye nchi yetu. Sera hizi ni za uchumi huru wa kuruhusu sekta binafsi kuendesha uchumi wa nchi

Ni dhahili pia kuwa baada ya miaka 59 ya kutawaliwa huku tukilishwa ujinga na upumbavu na CCM sasa nchi yetu inaenda kuwekewa mfumo sahihi wa maendeleo utakaofanya kila sehemu kuwa na maendeleo no matter kiongozi wa iyo sehemu anatoka Chama gani

Kusema kweli nimeshawishiwa na hizi Sera za Chadema, Nimeshawishiwa na Mgombea wa Chadema Tundu Antipas Lissu.

Dawa ya umasikini na ujinga wa watanzania sasa imepatikana rasmi.

Hongereni sana Chadema.

SASA NI RASMI, Tumepata “TANZANIA DREAM”

View attachment 1531816View attachment 1531817View attachment 1531818View attachment 1531819View attachment 1531820View attachment 1531821
Kwans ani sera bora pili zimekuwa well presented ktk mfumo wa Slides easy to capture and comprehend.

Ni rahisi pia kutengenezea postures, flies na form mbali mabali za matangazo hasa mitandao ya kijamii, slide shows na GIF zitengenezwe haraka.

Bado niko na Idara ya habari maelezo Chadema amkeni zaidi.
 
Ni nini ambacho nimekiongolea hakina uhalisia???
Labda nikuulize wewe, kwa jambo gani

Ndugu mimi sio Lissu na kwa taarifa yako mimi nilikuwa CCM ninayejenga hoja zaidi yako. Kilichonifanya niondoke CCM ni baada ya kufanya tafiti ya uhakika na kujiridhisha kuwa hakuna namna CCM wataweza kuleta mabadiriko na maendeleo ya kweli ya watu na vitu hapa Tanzania.

Ninaposema Lissu atashinda Nina uhakika. Ninaposema hakuna namna magufuli atashinda mwaka huu Nina uhakika.

Magufuli hafai kuwa kiongozi. Alitoa tamko moja tu bei ya Sukari ikapanda kutoka 1800 hadi 2800/3000 sasaivi na haijashuka.

Magufuli kaharibu uchumi na biashara watu wengi wamepoteza ajira. Nakwambia watu wengi wamepoteza ajira.

Magufuli kaharibu kwa watumishi wa umma. Na kwa taarifa yako hawataki hata kumsikia. Hata haki zao za kisheria ( annual increment) tu hajawapa kwa miaka 5

Magufuli kaharibu kwenye kilimo. Huku RUVUMA zuio la mazao nje ya nchi lilipelekea umasikini wa kutupwa kwa wakulima. Kwenye korosho kaharibu hapafai hata wafanyabiashara binafsi wanaogopa kurudi

Kwenye ajira hapafai. Watu wana machungu vijana wao hawajaajiliwa, Kuna watu wamepoteza kazi kwenye makampuni ya kuchimba gesi LINDI na Mtwara hawataki hata kumsikia.

Watu wana hasira na magufuli ndugu. Wanamsubiri kwenye ballot box hapo October 2020.

kwenye haki ndo usiseme. Usione watu wanafurahia kesi za kina idriss, Lissu au viongozi wa upinzani. Wewe unachukuliaje watu kuchangishana kuwatoa viongozi wa chadema???

Subiri October upate picha halisi ndugu!!!
Ndo maana nilikwambia huna akili. Nimekuuliza swali Technical nikijua tu namna utakavyojibu tu ndo nitapata uhakika kuwa wewe IQ yako ni ndogo Sana. Magufuli kuharibu au kutokuharibu havina uhusiano na Lissu kuapishwa kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, unajua hilo?, Kwahiyo unaamini Tanzania nzima watu wote au wengi wanamchukia JPM?, Mkuu nimeamua kukwambia ukweli ambao wenzako wanakuficha wewe ni MPUMBAVU. Mtu mwenye akili lazima akubali kuwa tutashinda Ila kazi Ni ngumu. Hata Lissu mwenyewe anasema hii kazi Ni ngumu ya kushinda uraisi Ila tutapambana hadi mwisho. Ila MPUMBAVU Kama wewe unasema tuna 100% za ushindi, eti JPM akabidhi nchi, kila mtu anayeongea hizi sentensi humu JF na popote ana Low thinking capacity. Very low. Huu sio uchaguzi wa uongozi wa chuo. Mmejaa mitandaoni kujazana Upumbavu na ujinga. November 2015 wengi walikimbia ID zao na kuanzisha mpya, baada ya 28 October wengi mtakimbia ID zenu pia. Nakuhakikishia Lissu hawezi kuja kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - NEVER, System haifanyi kazi Kama akili zenu zinavyowatuma, hii sio Malawi wala Zambia mnapotolea mifano. Ila unaruhusiwa kuendelea kujidanganya, ni haki yako.
 
Ndo maana nilikwambia huna akili. Nimekuuliza swali Technical nikijua tu namna utakavyojibu tu ndo nitapata uhakika kuwa wewe IQ yako ni ndogo Sana. Magufuli kuharibu au kutokuharibu havina uhusiano na Lissu kuapishwa kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, unajua hilo?, Kwahiyo unaamini Tanzania nzima watu wote au wengi wanamchukia JPM?, Mkuu nimeamua kukwambia ukweli ambao wenzako wanakuficha wewe ni MPUMBAVU. Mtu mwenye akili lazima akubali kuwa tutashinda Ila kazi Ni ngumu. Hata Lissu mwenyewe anasema hii kazi Ni ngumu ya kushinda urahisi Ila tutapambana hadi mwisho. Ila MPUMBAVU Kama wewe unasema tuna 100% za ushindi, eti JPM akabidhi nchi, kila mtu anayeongea hizi sentensi humu JF na popote ana Low thinking capacity. Very low. Huu sio uchaguzi wa uongozi wa chuo. Mmejaa mitandaoni kujazana Upumbavu na ujinga. November 2015 wengi walikimbia ID zao na kuanzisha mpya, baada ya 28 October wengi mtakimbia ID zenu pia. Nakuhakikishia Lissu hawezi kuja kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - NEVER, System haifanyi kazi Kama akili zenu zinavyowatuma, hii sio Malawi wala Zambia mnapotolea mifano. Ila unaruhusiwa kuendelea kujidanganya, ni haki yako.
Nimegundua kuwa wewe ni mjinga unayeamini kuwa System uchwara ndo itaendelea kuwachagulia Raisi wantanzania. Basi endelea kuamini hivyo ila kwa raarifa yako mwaka huu hiyo system yako inaenda kufuata matakwa ya nguvu ya umma.
Wajinga kama nyie mpo wengi ila mabadiriko ya kweli yanaenda kuwaelimisha nyie wajinga wote.

Mnawekeza kwenye vitisho mkitegemea watanzania ni makondoo ila kwa taarifa yako, mwaka huu hakuna ukondoo na Habari mliipata tarehe 27/07/2020 mliposema Lissu atapokewa Mtandaoni ila picha mlioona. Sasa picha kamili mtaiona mwezi October mwaka huu.
 
Mkuu hawa mataahira yasikusumbue akili yanashinda jamii forums wakiaminishana ujinga na upumbavu, yameshaweka akili pembeni yanaendeshwa na mihemuko. Ukiingia JF kama upeo wako upo chini waweza kufikiri Lissu kashatangazwa kuwa Raisi wa nchi hii. Baada ya October 28 watakuja na story ya tume sio huru na blah blah kibao. Nakuhakikishia wala hakuna atakayethubutu kuingia barabarani ni mikwara tu. Na wakipata wabunge 10 washukuru Mungu.
Kosa nikufikiri utawala wa nchi ni kitu chepesi na ni rahisi tu kumkabidhi mwingine atawale.
 
Kama wazazi wako wanaamini Lissu anaweza kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nao ni Wajinga tu. Sina wazazi wenye akili fupi za namna hiyo.Mtu yeyote anayeamini Lissu anaweza kushinda uraisi wa nchi hii ni MPUMBAVU na LOFA. Hamjui hata system ya nchi hii inafanyaje kazi. Mnaacha kushughulikia mambo ya msingi pengine 2035 mshinde uchaguzi mnakimbilia mitandaoni kujazana ujinga. Kitendo cha hadi viongozi wa upinzani kushinda Jamii Forums wanaongea pumba badala ya kutafuta suluhisho la kuweza kupata ushindi ndo kitasababisha CCM itawale miaka 100. JPM aliposema CCM itatawala miaka 100 hakuongea kwa bahati mbaya.

2035 tunamwachia Mungu, 2020 hakuna kumuwachia Mungu. Nani alijuwa kuwa Mkapa hatouona uchagzuzi huu wa 2020. Will see who is loafer post 28th October. Wwtch the space!
 
Nimegundua kuwa wewe ni mjinga unayeamini kuwa System uchwara ndo itaendelea kuwachagulia Raisi wantanzania. Basi endelea kuamini hivyo ila kwa raarifa yako mwaka huu hiyo system yako inaenda kufuata matakwa ya nguvu ya umma.
Wajinga kama nyie mpo wengi ila mabadiriko ya kweli yanaenda kuwaelimisha nyie wajinga wote.

Mnawekeza kwenye vitisho mkitegemea watanzania ni makondoo ila kwa taarifa yako, mwaka huu hakuna ukondoo na Habari mliipata tarehe 27/07/2020 mliposema Lissu atapokewa Mtandaoni ila picha mlioona. Sasa picha kamili mtaiona mwezi October mwaka huu.
Kwahiyo waliompokea Lissu ndo wanakuaminisha Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii?, Uliyaona mafuriko ya Lowassa, Lyatonga Mrema?... Unaamini nguvu ya umma ndo itamuweka Lissu ikulu?.. wewe jamaa sijui hata umeishia darasa la ngapi?, Mifano yako yoote tangu unachangia humu JF hakuna hata mmoja unaoeleza namna Lissu ataapishwa kuwa Raisi wa nchi hii. Huu sio mchakato wa kumchagua mwenyekiti wa CHADEMA. Relax utumie akili kidogo, acha mihemuko ya mitandaoni utaelewa. Usipoelewa subiri November tarehe 2 mwaka huu matokeo yatakuwa mezani tayari. Hata asilimia atakazopata Lissu zipo mezani hazifiki 20%, hii nchi haiendeshwi kwa mihemuko ya mitandaoni. Ukiamua kuelewa sawa, Ila unaruhusiwa kuendelea kujidanganya, pengine unalipwa kuandika UPUMBAVU humu JF na kwingine.
 
2035 tunamwachia Mungu, 2020 hakuna kumuwachia Mungu. Nani alijuwa kuwa Mkapa hatouona uchagzuzi huu wa 2020. Will see who is loafer post 28th October. Wwtch the space!
Hata msipomwachia Mungu hamna la kufanya, mnadanganywa na huyo chizi fresh Lissu muingie barabarani tuwatie ulemavu ndo mpate akili. Huku yeye mke wake na watoto wakiwa U.S.A wanawaangalia mnavyochapika kwa bakora kupitia CNN na BBC.
 
Kwahiyo waliompokea Lissu ndo wanakuaminisha Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii?, Uliyaona mafuriko ya Lowassa, Lyatonga Mrema?... Unaamini nguvu ya umma ndo itamuweka Lissu ikulu?.. wewe jamaa sijui hata umeishia darasa la ngapi?, Mifano yako yoote tangu unachangia humu JF hakuna hata mmoja unaoeleza namna Lissu ataapishwa kuwa Raisi wa nchi hii. Huu sio mchakato wa kumchagua mwenyekiti wa CHADEMA. Relax utumie akili kidogo, acha mihemuko ya mitandaoni utaelewa. Usipoelewa subiri November tarehe 2 mwaka huu matokeo yatakuwa mezani tayari. Hata asilimia atakazopata Lissu zipo mezani hazifiki 20%, hii nchi haiendeshwi kwa mihemuko ya mitandaoni. Ukiamua kuelewa sawa, Ila unaruhusiwa kuendelea kujidanganya, pengine unalipwa kuandika UPUMBAVU humu JF na kwingine.
Magufuli hashindi mwaka huu!!! Huelewi we mtu???

Haya tukutane October 2020???
 
CCM ya sasa haina falsafa yeyote kiuchumi na kijamii. Siyo wajamaa, waliberali, wala wakusanya mitaji (capitalists). Wawopowapo tu. Wanategemea ndoto za viongozi na jinsi watakavyoamka au kushauriwa na wake zao.
Sasa nawezaje kuongea Neno hapo??
 
CCM sera zao ni za kijamaa wao na sekta binafsi ni vitu viwili tofauti
Sikiliza wewe kijana ,kwa hatua ya maisha niliyofikia,Mimi sihitaji kusikiliza Sera ya chama chochote,Mimi ninachotaka Ni kuona CCM inaondoka na kwenda kujifia taratibu kama KANU.
Mimi na Mke wangu Kura Ni kwa Lissu tu.
 
Umewahi kufanya biashara ya kuexport?mfano prawns vibali vyake ni ghali kuliko kununua hao prawns na wakati soko la dunia bei iko palepale...wafanya biashara wengi wameacha hiyo biashara wengine wamekimbilia Msumbiji kwenye cites kafungia vibali nk nk nyie vijana wadogo hamjui kitu watu walivyokuwa masikini ghafla na wengine walikuwa wamechukua mikopo benki nyumba zao zimeuzwa
Uzeni maparachichi yana soko nje
 
Acha porojo, yangekuwa ya kweli haya si uchumi ungekuwa ume paralyse. How comes WB wanadai nchi imehama level ya uchumi?. Hizo stori wapelekee wenzio vijiweni
Sasa kula kulala wewe utajuaje hali ya uchumi wa watu? we endelea kulishwa na shemeji yako tu hapo mpaka uzeeke
 
Back
Top Bottom