Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM hawawezi kucopy Sera za akili hizi na unamaanisha wao wa kutaka vya a vya ushirika ndo vitawale na serikali ndo ifanye biasharacopy and paste
Kabla ya huu utangulizi niambie sera ya chadema kuhusiana na kupambana na kuzuia rushwa. Maana haya yote unayosema na mengine yatafanikiwa endapo mfumo wa kupambana na rushwa na ufisadi utakuwa imara vinginevyo hata uje na sera nzuri vipi usipombana na rushwa na ufisadi ni kazi bure! Ndio maana nchi nyingi duniani zilizoendelea hawa-entertain rushwa maana wanajua madhara yake kwa uchumi wa nchi zao na huduma kwa jamii.Kwanza u naelewa nini unaposikia kwa kushirikiana na sekta binafsi
Moja chadema itahakikisha kuna certainty na predictability kwenye sera za uwekezaji na hili wataliweka kimfumo na kisheria ili mwekezaji akija asiwe na hofu ya kesho sera zitabadilika au atakuja kiongozi wa serikali na kumtolea matamko yasiyo na kichwa wala miguu
Pili Chadema itatangaza Rasmi kukaribisha uwekezaji kwenye sekta zote hizo. Uwekezaji unaompa amani mwekezaji na kumuondoa hofu ya kusumbuliwa na mamlaka. Sekta zote zitakuwa huru kwa mwekezaji kuja na kuwekezana aliweka mtaji wake atawasilisha business plan yake inayomwekea namna ya kupata faida na kulipa kodi stahiki. Namna atavyotoa Akira kwa wazawa na serikali utasema commitment ya kumlinda na kuulinda huo uwekezaji wake.
Tatu mfumo wote wa uwekezaji utabadirishwa. Kusajili na kupata vibali vyote na leseni kwa mwekezaji hakutazidi kipindi cha wiki tatu.
Pia suala la kodi litawekwa wazi Kwa kumuondolea bughuza zote na kuhakikisha analipa kodi zote kwa kipindi sahihi. Hakutakuwa na kuwafungia wawekezaji
Mkuu hawa mataahira yasikusumbue akili yanashinda jamii forums wakiaminishana ujinga na upumbavu, yameshaweka akili pembeni yanaendeshwa na mihemuko. Ukiingia JF kama upeo wako upo chini waweza kufikiri Lissu kashatangazwa kuwa Raisi wa nchi hii. Baada ya October 28 watakuja na story ya tume sio huru na blah blah kibao. Nakuhakikishia wala hakuna atakayethubutu kuingia barabarani ni mikwara tu. Na wakipata wabunge 10 washukuru Mungu.Kuna vipimo vinavyoonyesha hali ya hiyo hatari ya nguvu ya uma. So far si hatarishi kama unavyodhani japo inawezekana upepo ukabadilika, na hilo linatafutiwa ufumbuzi maana wenye mamlaka pia wanategemea uwezekano wa hilo kutokea.
Hivi kwa akili ya kawaida kabisa unaamini itakuwa kirahisi tu kukabidhi nchi kwa Lissu? Yaani majeshi, mipaka, mabomu, rasilimali za nchi n.k vyote ccm wampe lissu kwa sababu kashinda kura? Tuweke mapenzi ya chama pembeni, jibu kama binadamu mwenye utashi.
Mbona hakuna jipya hapo.Amani iwe nanyi wadau!
Ni dhahili kuwa mwaka huu 2020, Hatimaye Tanzania kwa mara ya kwanza tumepata Chama ambacho kina Sera sahihi za kutupeleka kwenda kwenye nchi tunayoitaka. Yaani” Tanzania Dream”
Ni dhahili pia kuwa baada ya sera za kijamaa za CCM zilizotufanya kuwa mafukara kwa karibu miaka 59 tangu uhuru sasa zimepata Sera mbadala za kutukomboa kweli na kuleta ustawi sahihi kwenye nchi yetu. Sera hizi ni za uchumi huru wa kuruhusu sekta binafsi kuendesha uchumi wa nchi
Ni dhahili pia kuwa baada ya miaka 59 ya kutawaliwa huku tukilishwa ujinga na upumbavu na CCM sasa nchi yetu inaenda kuwekewa mfumo sahihi wa maendeleo utakaofanya kila sehemu kuwa na maendeleo no matter kiongozi wa iyo sehemu anatoka Chama gani
Kusema kweli nimeshawishiwa na hizi Sera za Chadema, Nimeshawishiwa na Mgombea wa Chadema Tundu Antipas Lissu.
Dawa ya umasikini na ujinga wa watanzania sasa imepatikana rasmi.
Hongereni sana Chadema.
SASA NI RASMI, Tumepata “TANZANIA DREAM”
View attachment 1531816View attachment 1531817View attachment 1531818View attachment 1531819View attachment 1531820View attachment 1531821
Ni kuwa, sheria itafuatwa kwenye suala la Rushwa. Hakutakuwa na doubled standard kwenye Rushwa. Vyombo vinavyoshughulikia Rushwa vitawekwa huru from political influence kama ilivyo sasa. Hawatapokea maagizo kutoka iwe kwa Raisi au mtu yeyote nchini.Kabla ya huu utangulizi niambie sera ya chadema kuhusiana na kupambana na kuzuia rushwa. Maana haya yote unayosema na mengine yatafanikiwa endapo mfumo wa kupambana na rushwa na ufisadi utakuwa imara vinginevyo hata uje na sera nzuri vipi usipombana na rushwa na ufisadi ni kazi bure!
Mwaka huu October 2020 , CCM ndo mtakuja na Sera za kuibiwa kura. Wakati utasema nduguMkuu hawa mataahira yasikusumbue akili yanashinda jamii forums wakiaminishana ujinga na upumbavu, yameshaweka akili pembeni yanaendeshwa na mihemuko. Ukiingia JF kama upeo wako upo chini waweza kufikiri Lissu kashatangazwa kuwa Raisi wa nchi hii. Baada ya October 28 watakuja na story ya tume sio huru na blah blah kibao. Nakuhakikishia wala hakuna atakayethubutu kuingia barabarani ni mikwara tu. Na wakipata wabunge 10 washukuru Mungu.
Mkuu uko kwenye nyumba ya vioo tupu ujue, halafu unaanzisha ugomvi wa kurushiana mawe!! kuwa makini..... mwizi wa na ....!!
Hakuna jipya kwako uliyenyimwa upeo mkubwa na elimu mbovu ya shule za kata za CCMMbona hakuna jipya hapo.
Ni nini kimekuhadaa wewe?
Unamlisha matango pori lissu au we we ndiye lissu!?Kwanza u naelewa nini unaposikia kwa kushirikiana na sekta binafsi
Moja chadema itahakikisha kuna certainty na predictability kwenye sera za uwekezaji na hili wataliweka kimfumo na kisheria ili mwekezaji akija asiwe na hofu ya kesho sera zitabadilika au atakuja kiongozi wa serikali na kumtolea matamko yasiyo na kichwa wala miguu
Pili Chadema itatangaza Rasmi kukaribisha uwekezaji kwenye sekta zote hizo. Uwekezaji unaompa amani mwekezaji na kumuondoa hofu ya kusumbuliwa na mamlaka. Sekta zote zitakuwa huru kwa mwekezaji kuja na kuwekezana aliweka mtaji wake atawasilisha business plan yake inayomwekea namna ya kupata faida na kulipa kodi stahiki. Namna atavyotoa Ajira kwa wazawa na serikali utasema commitment ya kumlinda na kuulinda huo uwekezaji wake.
Tatu mfumo wote wa uwekezaji utabadirishwa. Kusajili na kupata vibali vyote na leseni kwa mwekezaji hakutazidi kipindi cha wiki tatu.
Pia suala la kodi litawekwa wazi Kwa kumuondolea bughuza zote na kuhakikisha analipa kodi zote kwa kipindi sahihi. Hakutakuwa na kuwafungia wawekezaji
Kivipi mkuu. Hili ni jukwaa huru. Funguka tu!Mkuu uko kwenye nyumba ya vioo tupu ujue, halafu unaanzisha ugomvi wa kurushiana mawe!! kuwa makini.
Una upeo gani wewe.Hakuna jipya kwako uliyenyimwa upeo mkubwa na elimu mbovu ya shule za kata za CCM
Hapana Mkuu. Kwani shida iko wapi. Hizi ndo sera za Chadema au wewe unahoja ya kuzipinga??Unamlisha matango pori lissu au we we ndiye lissu!?
Huwezi kujifananisha na mimi vyovyote kiupeo ndugu. Uthibitisho wake ni wewe ku support CCM. Hakuna Mwenye akili iliyo sawa anaei support CCM.Una upeo gani wewe.
Unaofikiria upande mmoja. Na shule hio ya chadema
Sawa, kama kuwa unasupport upinzani ndio akili.Huwezi kukutana is hana mimi vyovyote kiupeo ndugu. Uthibitisho wake ni wewe ku support CCM. Hakuna Mwenye akili iliyo sawa anaei support CCM.
Nadhabi ndio sababu Chadema hawakutaka ushirikiano na ACT. Kuna ka harufu ka CCM kugawa kura za wapinzani
Mkuu mtu akifatilia post zako JF either anakuona umechanganyikiwa au una shida kubwa kisaikolojia unahitaji matibabu. Kuna wakati nahisi wewe ni Lissu mwenyewe. Nimesema hivyo kwasababu hauweki possibility tofauti kwenye matokeo.Mwaka huu October 2020 , CCM ndo mtakuja na Sera za kuibiwa kura. Wakati utasema ndugu
Asante uwe na siku njemaSawa, kama kuwa unasupport upinzani ndio akili.
Hapo sina neno, na umenizidi sana tu.
chadema chama cha kisasa sana tafadhali chadema mfumo mliokuja nao wa kunadi sera zenu ni mbinu ya kisasa kabisa fanya macchapisho ya kutosha kama vipeperushi na tatoa pongezi kuanzia mwenyekiti wenu na kambi nzima kwa ubunifu kama huuAmani iwe nanyi wadau!
Ni dhahili kuwa mwaka huu 2020, Hatimaye Tanzania kwa mara ya kwanza tumepata Chama ambacho kina Sera sahihi za kutupeleka kwenda kwenye nchi tunayoitaka. Yaani” Tanzania Dream”...
Ni ilani nzuri ila vyote tayari tingatinga amefanya na ambavyo bado tunamchagua tena avimalizie.
Hongereni kwa kujaribu tuonane 2025