Uchaguzi 2020 Kwa Ilani hii ya CHADEMA, CCM jiandaeni kuwa wapinzani baada ya kuanzia Oktoba 2020

Uchaguzi 2020 Kwa Ilani hii ya CHADEMA, CCM jiandaeni kuwa wapinzani baada ya kuanzia Oktoba 2020

Tunakuhakikishia CCM tunashinda vizuriiii bila hata upinzani wa kibwegeee bwege
Hata mgombea wao (chadema) amekaa kimajungu majungu na ugomvi tu badala ya kueneza sera za chama chake amekalia kulalamika tu. Tangu lini matatizo yakatatuliwa kwa kulalamika? Tunataka atuambie atamfanyia nini mama Tanzania na kwa mkakati upi siyo kulalamika kama mtoto mdogo.
 
Hakika umenena, LISSU hana jipya zaidi ya kulialia na kulalamika tu, baada ya kujikita kwenye sera amejikita kumkejeli Magufuli, kwa mtindo huu, hata nafas ya pili Anaweza akaisikia kwenye bomba, halfu ukweli usemwe CHADEMA IKO MITANDAONI TU, lkn mtaani Magu ana wafuasi wengi sana
 
We jamaa CCM imeishashinda tayari tunachokitafuta ni kuhakikisha ushindi unakuwa ushindi wa kishindo yaani Kuanzia 95% na kuendelea.
 
We jamaa CCM imeishashinda tayari tunachokitafuta ni kuhakikisha ushindi unakuwa ushindi wa kishindo yaani Kuanzia 95% na kuendelea.
ccm 2020 sio ya kubetia mkeka wako chana kabisa utalia
 
Bila kupenda au kutokupenda watatangaza hakuna option this time sisi ndio wenye Nchi yetu bhana
Halafu nyie chadomo mnashida gani??? Unalalamikaje kabla ya upigaji kura na kuhesabu hakujafanyika mkikamatwa kwa kusababisha taharuki na kutishia amani ya nchi mntaanza kulialia.Mwaka huu ni 95% ushindi kwa magufuli andikeni hii kwenye diary zenu mburura nyie
 
Ujinga alionao mleta mada umepatikana kwa serikali ya ccm, ametaja kuwa, serikali ya ccm imemfanya kula ujinga kwa zaidi ya miaka 49!

Ninachoshangaa Mimi kutoka kwa mleta mada ni huu uelevu katoa wapi wa kutambua amelishwa ujinga tangu tupate Uhuru, uelewa wa kutambua kuna mgombea kutoka chadema ataondoa ujinga na umaskini wa watanzania umeupata ukiwa nchi gani?

Then, pamoja na uelevu wako, bado hujui tatizo kubwa la ujinga wako, labda nikudokeze tu kidogo tena kwa sauti ya chini kuwa, kama ccm bado wanahitaji kuendelea kutawala, basi hutaona wanakubali kubadili au kuunda katiba mpya!

Kwa katiba tuliyonayo, chama tawala ndo bosi wa kila sekta ktk nchi hii, hata ukikataa leo ipo siku utakubali!

Siku ccm wakihitaji kuwapa utawala chama kingine, watakubali kufanya mchakato wa kupatikana katiba mpya yenye vigezo vya kuiondoa madarakani! Kwa sasa hata mkitaka kuingia barabarani, mtapigika tu maana sekta zote za dola kwa mujibu wa katiba ya sasa zipo chini ya ccm!

Upinzani kutawala nchi hii inategemea huruma ya ccm na hakuna mbadala hata Lissu analijua hili!

Ni Mimi mpumbavu na maskini mwenzako wa tangu kupata Uhuru wa nchi yetu!
 
Olewenu tuje tusikie mnalalama habari ya tume huru
Ngumu wa kuelewa mwakahuu zinapigwa kura za wazi nguu kwa nguu hadi ikulu hii nchi sio mali ya ccm mtaelewa ngoja muda ufike
 
Amani iwe nanyi wadau!

Ni dhahili kuwa mwaka huu 2020, Hatimaye Tanzania kwa mara ya kwanza tumepata Chama ambacho kina Sera sahihi za kutupeleka kwenda kwenye nchi tunayoitaka. Yaani” Tanzania Dream”

Ni dhahili pia kuwa baada ya sera za kijamaa za CCM zilizotufanya kuwa mafukara kwa karibu miaka 59 tangu uhuru sasa zimepata Sera mbadala za kutukomboa kweli na kuleta ustawi sahihi kwenye nchi yetu. Sera hizi ni za uchumi huru wa kuruhusu sekta binafsi kuendesha uchumi wa nchi

Ni dhahili pia kuwa baada ya miaka 59 ya kutawaliwa huku tukilishwa ujinga na upumbavu na CCM sasa nchi yetu inaenda kuwekewa mfumo sahihi wa maendeleo utakaofanya kila sehemu kuwa na maendeleo no matter kiongozi wa iyo sehemu anatoka Chama gani

Kusema kweli nimeshawishiwa na hizi Sera za Chadema, Nimeshawishiwa na Mgombea wa Chadema Tundu Antipas Lissu.

Dawa ya umasikini na ujinga wa watanzania sasa imepatikana rasmi.

Hongereni sana Chadema.

SASA NI RASMI, Tumepata “TANZANIA DREAM”

View attachment 1531816View attachment 1531817View attachment 1531818View attachment 1531819View attachment 1531820View attachment 1531821

Safi sana, Tundu Lisu ahakikishe anawasilisha vyema kwa umma, na kuitolea ufafanuzi stahiki.
 
Kuna wafuasi wa Lisu ikifia oktoba wanaweza kujinyonga
Vice versa is true. Wafuasi wa CCM hamtaamini historia inayoenda kuandikwa Tanzania hapo October 2020. Amini amini nakwambia
 
Halafu nyie chadomo mnashida gani??? Unalalamikaje kabla ya upigaji kura na kuhesabu hakujafanyika mkikamatwa kwa kusababisha taharuki na kutishia amani ya nchi mntaanza kulialia.Mwaka huu ni 95% ushindi kwa magufuli andikeni hii kwenye diary zenu mburura nyie
Kulinda kura ni kuhatarisha usalama wa CCM au usalama wa Taifa. Subirini tu ndugu. Mtajua hamjui mwaka huu!
 
Halafu nyie chadomo mnashida gani??? Unalalamikaje kabla ya upigaji kura na kuhesabu hakujafanyika mkikamatwa kwa kusababisha taharuki na kutishia amani ya nchi mntaanza kulialia.Mwaka huu ni 95% ushindi kwa magufuli andikeni hii kwenye diary zenu mburura nyie
Umejua 95%
 
We jamaa CCM imeishashinda tayari tunachokitafuta ni kuhakikisha ushindi unakuwa ushindi wa kishindo yaani Kuanzia 95% na kuendelea.
Historia iliyoandikwa Malawi mwaka huu unaenda kuandikwa rasmi Tanzania hapo October mwaka huu!
 
Hakika umenena, LISSU hana jipya zaidi ya kulialia na kulalamika tu, baada ya kujikita kwenye sera amejikita kumkejeli Magufuli, kwa mtindo huu, hata nafas ya pili Anaweza akaisikia kwenye bomba, halfu ukweli usemwe CHADEMA IKO MITANDAONI TU, lkn mtaani Magu ana wafuasi wengi sana
Mlisema tarehe 27/7/2020 Lissu atapokew mtandaoni ila salamu mlizipata. Unazungumzia Sera kwani huu uzi uliochangia humu unahusu Sera za nani??? Hizo ndo sera za Lissu na hizi ndo Sera za Chadema!!
 
Huyo jamaa kwenye uchumu imara na shirikishi naona anaioneshea kidole Boeing 787
 
Hata mgombea wao (chadema) amekaa kimajungu majungu na ugomvi tu badala ya kueneza sera za chama chake amekalia kulalamika tu. Tangu lini matatizo yakatatuliwa kwa kulalamika? Tunataka atuambie atamfanyia nini mama Tanzania na kwa mkakati upi siyo kulalamika kama mtoto mdogo.
Unasema unataka aseme atafanyia nini taifa kwani huu uzi unahusu Sera za Nani????

Kweli Mataga mmechanganyikiwa Aisee. Poleni sana
 
Back
Top Bottom