Uchaguzi 2020 Kwa Ilani hii ya CHADEMA, CCM jiandaeni kuwa wapinzani baada ya kuanzia Oktoba 2020

Uchaguzi 2020 Kwa Ilani hii ya CHADEMA, CCM jiandaeni kuwa wapinzani baada ya kuanzia Oktoba 2020

Tusiangalie itikadi zetu, tujiunge kwa pamoja kumsaidia kamanda Lissu tumpe Nchi ipige spana . Tupate nchi yenye mifumo mizuri ya sheria hata ikitokea wewe unakua Rais utaweza kutuongoza bila shida .
Kuongoza nchi hasa zinazoendelea si suala dogo mkuu, Magufuli amesimama imara kipindi Cha miaka 5. Tujitahidi kumuamini
 
Umeshapanic mapema hivi kabla hata ya kampeni? Ahahahha, ndugu siasa si rahisi kihivyo japo unafanya vizuri kujifariji lakini kumbuka ndoto zilizopitiliza huwa ni hatari sana zisipotimia maana unaweza kufa kabla ya muda wako!
Hakuna kupanic hapa. We uliza hoja ujibiwe kwa hoja ndugu
 
Fastjet makampuni kibao yamefunga biashara zao ajira za Wanzania wenzetu zikasitishwa kwasabu ya sela mbovu
Halafu wanatokea vidampa wachache wanasifia ujinga wa kuua sector binafsi
 
Inabidi tuendelee kuzihubiri izi Sela za Chadema ili tuendelee kujizolea wafuasi wengi mijini na vijijini ,October 28 Lissu apate ushindi wa kishindo . Hawa wenzetu huwa hawana ilani kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na Hii ndo kauli mbiu ya mwaka huu!! Hizi sera tutazihubiri vijijini, mijini, mashuleni, mitaani, uswazi na ushuani.

Ni bampa to bampa tu mwaka huu. Hakuna namna CCM watapona mwaka huu. Huku mitandaoni tutaeneza Sera za Chadema tu mpaka kieleweke!
 
Kuna vipimo vinavyoonyesha hali ya hiyo hatari ya nguvu ya uma. So far si hatarishi kama unavyodhani japo inawezekana upepo ukabadilika, na hilo linatafutiwa ufumbuzi maana wenye mamlaka pia wanategemea uwezekano wa hilo kutokea.

Hivi kwa akili ya kawaida kabisa unaamini itakuwa kirahisi tu kukabidhi nchi kwa Lissu? Yaani majeshi, mipaka, mabomu, rasilimali za nchi n.k vyote ccm wampe lissu kwa sababu kashinda kura? Tuweke mapenzi ya chama pembeni, jibu kama binadamu mwenye utashi.
Hawa wapinzani wa tz bwana wananiachaga hoi sana maana ni kama umekaa chini ya mnazi halafu unasubiri embe lidondoke ule. Siku nitakapowaona wapinzani kwamba kweli wamekua na wapo tayari kuingia ikulu ni pale watakapofanyia kazi yale yanayowazuia kuingia ikulu miaka karibia 30 sasa. Ila kwa sababu harusi imekaribia wacha tu wawe wapambe na wakamsindikize bwana harusi (CCM) lakini wakumbuke mwisho wa harusi ni bwana harusi ndiye anaondoka na mke na wala siyo wapambe au wasindikizaji.
 
CCM lazima wakopi Sasa ndiyo itakuwa yao
Hawana akili za ku copy sera zenye akili namna hii. Kupanga makazi na mipango mijn tu imewashinda ndo iwe kuchukua Sera za Chadema????
 
Tatizo kubwa ni NEC.....hakuna namna wamtangaze mpinzani kushinda....
 
Ingekuwa vyema iwekwe katika mfumo rahisi kama walivyofanya ACT itaje itafanyanya nini katika eneo fulani na ianishe pesa za utekelezaji zitapatikanaje?
Ukiona kwa kushirikiana na sekta binafsi ujue automatically pesa itatokana na mchango wa sekta binafsi.

ACT na CCM hawatofautiani kwa sababu vile vyama vyote Viña Sera za kijamaa zinazoamini serikali kuwa katikati ya kila kitu sasa kwa wao ni lazima waelezee vizuri fedha watapata wapi!! Hakutakuwa na mabadiriko yeyote ya kimfumo na kiuchumi hapa Tanzania kama Tanzania ikiongozwa na ACT kwa sababu kisera hawatofautiani sana!!
 
Nani kakwambia CCM wataongoza kwa kura mwaka huu. Watanzania wa sasa wanajielewa sana. Wanajua wanataka nini. Sio pambio za kusifu na kuabudu. Wameshagundua chanzo cha stagnation yao ni sera mbovu za CCM za kutaka serikali iwe kwenye kila kitu.

Sasa Sera mbadala na sahihi zimepatikana CCM wanaenda kupigwa vibaya mwaka huu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ivi nyie mnaosema watanzania wameichoka CCM yan Magu, mmefanya tafiti wapiiii?? Maana watu tulio na imani na Magu tupo kibaooooo, hatumpi mtu urais kwa kumuonea huruma eti alipigwa risasi. Apa ni tunampa tema Magufuli miaka mitano, ayo mambo yenu subirini mgombea mpya 2025, na yenyewe hamtaweza maaana atawekwa mtu wa bata hamtaaamini macho yenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] subirini october ushindi mnono wa Magu. Mmekaa mnapiga piga makerere tuu apa
 
Tatizo kubwa ni NEC.....hakuna namna wamtangaze mpinzani kushinda....
Bila kupenda au kutokupenda watatangaza hakuna option this time sisi ndio wenye Nchi yetu bhana
 
Kuna wafuasi wa Lisu ikifia oktoba wanaweza kujinyonga
 
Hawa wapinzani wa tz bwana wananiachaga hoi sana maana ni kama umekaa chini ya mnazi halafu unasubiri embe lidondoke ule. Siku nitakapowaona wapinzani kwamba kweli wamekua na wapo tayari kuingia ikulu ni pale watakapofanyia kazi yale yanayowazuia kuingia ikulu miaka karibia 30 sasa. Ila kwa sababu harusi imekaribia wacha tu wawe wapambe na wakamsindikize bwana harusi (CCM) lakini wakumbuke mwisho wa harusi ni bwana harusi ndiye anaondoka na mke na wala siyo wapambe au wasindikizaji.
Wambie yan wanakurupuka tuu vyama vyao bado havijawa smart kazi kuwaza kushinda urais hahaha hawataamini hawa. Ili mchukue nchi wajenge kwanza vyama vyao kwa usmart wa hali ya juu sio mwenyekiti tu wa chama hajawahi badilika since chama kimeanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu unahubir demokrasia dadeki. Hawa wataendelea kugombania ubunge mpaka wakome. Na mwaka huu tundulisu kabaki na umwenyekiti mwenza tuuu mana hata ubunge hana walah jamanii. Mwana kulitaka mwana kulipata
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ivi nyie mnaosema watanzania wameichoka CCM yan Magu, mmefanya tafiti wapiiii?? Maana watu tulio na imani na Magu tupo kibaooooo, hatumpi mtu urais kwa kumuonea huruma eti alipigwa risasi. Apa ni tunampa tema Magufuli miaka mitano, ayo mambo yenu subirini mgombea mpya 2025, na yenyewe hamtaweza maaana atawekwa mtu wa bata hamtaaamini macho yenu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] subirini october ushindi mnono wa Magu. Mmekaa mnapiga piga makerere tuu apa
Mkuu chunguza sana wanaosema hivyo wapo kama 10 hivi hapa Jf na id zao kila siku zinajulikana
 
Bila kupenda au kutokupenda watatangaza hakuna option this time sisi ndio wenye Nchi yetu bhana
Tunakuhakikishia CCM tunashinda vizuriiii bila hata upinzani wa kibwegeee bwege
 
Mkuu chunguza sana wanaosema hivyo wapo kama 10 hivi hapa Jf na id zao kila siku zinajulikana
Mtu hata kutumia akili tu hawezi eti tumpigie kura lisu walahi nakwambia bora nisipige kura, wapigaji kura ni ccm, hao chadema wachache ni kerere tuu na kura hawapigagi wanasema rais ashajulikana. Ss tutaenda kumpa rais wetu tenaaaaa hawataamini ushindi mnono atakaopata.

Tundu hana hoja zaidi ya kulalamika tuuu ndo alipofail kabisaaaaaa. Hatucheki na kima sisi kama WAJUMBE tunaangalia output.
Kwenye jimbo lake tu huko nasikia miaka yote mbunge hamna alichofanya kazi kutafta kujulikana tu kwa kubishana
 
Back
Top Bottom