Uchaguzi 2020 Kwa Ilani hii ya CHADEMA, CCM jiandaeni kuwa wapinzani baada ya kuanzia Oktoba 2020

Uchaguzi 2020 Kwa Ilani hii ya CHADEMA, CCM jiandaeni kuwa wapinzani baada ya kuanzia Oktoba 2020

Ccm 3m chadema 2m, membe 2m. Hapo in kama chadema ikipata 4m. Ccm wana akili ya kubaki madarakani.
Nani kakwambia CCM wataongoza kwa kura mwaka huu. Watanzania wa sasa wanajielewa sana. Wanajua wanataka nini. Sio pambio za kusifu na kuabudu. Wameshagundua chanzo cha stagnation yao ni sera mbovu za CCM za kutaka serikali iwe kwenye kila kitu.

Sasa Sera mbadala na sahihi zimepatikana CCM wanaenda kupigwa vibaya mwaka huu
 
Amani iwe nanyi wadau!

Mods naomba msiunganishe huu uzi!

Ni dhahili kuwa mwaka huu 2020, Hatimaye Tanzania kwa mara ya kwanza tumepata Chama ambacho kina Sera sahihi za kutupeleka kwenda kwenye nchi tunayoitaka. Yaani” Tanzania Dream”...
Mkuu sera nzuri, lkn zinahitaji ufafanuzi wa ziada ni namna gani zitatekelezwa, zipo too general, sera zinatakiwa ziwe specific, otherwise huwezi ukafanikisha chochote zaidi utashika hichi, utaacha hichi utaenda kile, miaka 5 itaisha hujafanya chochote,

angalia ACT wazalendo sera zao zipo very specific, wanataja sera na namna ya kuikamilisha, labda sijui ushiriki wa sekta binafsi unaotakiwa na CDM ni wa namna gani wakati tangu enzi za Mzee wa ruksa sekta binafsi walipewa nafsi lkn maendeleo hayakuwepo, au tuje kwa CCM ya viwanda a. k. a CMM ya Magufuli angalia sera zao, Magufuli anaamini bila umeme wa uhakika na miundombinu thabiti huwezi kuwa na viwanda ndio maana kajikita huko. Ni vizuri pia Chadema muwe specific kwenye sera zenu
 
Nani kakwambia CCM wataongoza kwa kura mwaka huu. Watanzania wa sasa wanajielewa sana. Wanajua wanataka nini. Sio pambio za kusifu na kuabudu. Wameshagundua chanzo cha stagnation yao ni sera mbovu za CCM za kutaka serikali iwe kwenye kila kitu.

Sasa Sera mbadala na sahihi zimepatikana CCM wanaenda kupigwa vibaya mwaka huu


Mwisho wa uongo wao
 
Haitawasaidia, ACT ina impact Zanzibar sio Tanzania bara. Membe na CCM ndo wanapoteza,!Membe atapunguza kura za Magufuli na sio Tundu Antipas Lissu mpakwa mafuta wa Bwana!!
Labda amepakwa na shetani, siyo bwana ninayemjua
 

Attachments

  • FB_IMG_1596956338370.jpg
    FB_IMG_1596956338370.jpg
    32.6 KB · Views: 1
Mkuu sera nzuri, lkn zinahitaji ufafanuzi wa ziada ni namna gani zitatekelezwa, zipo too general, sera zinatakiwa ziwe specific, otherwise huwezi ukafanikisha chochote zaidi utashika hichi, utaacha hichi utaenda kile, miaka 5 itaisha hujafanya chochote, angalia ACT wazalendo sera zao zipo very specific, wanataja sera na namna ya kuikamilisha, labda sijui ushiriki wa sekta binafsi unaotakiwa na CDM ni wa namna gani wakati tangu enzi za Mzee wa ruksa sekta binafsi walipewa nafsi lkn maendeleo hayakuwepo, au tuje kwa CCM ya viwanda a. k. a CMM ya Magufuli angalia sera zao, Magufuli anaamini bila umeme wa uhakika na miundombinu thabiti huwezi kuwa na viwanda ndio maana kajikita huko. Ni vizuri pia Chadema muwe specific kwenye sera zenu
Sera za Act zipo specific kwa sababu nao Sera zao ni za kijamaa. Ukiwa na Sera za kijana lazima uelezee vizuri utapata wapi pesa

Chadema unawaona wako General kwa sababu wao uspecific wao Uko kwenye kushirikiana na sekta binafsi. Kama hela itatokana na uwekezaji wa sekta binafsi. Tatizo CCM hamnaga akili. Hivi unajua kuwa sekta binafsi inaweza kujenga hata reli au hata barabara??? Tatizo hamna exposure na akili zenu zimefungwa
 
Back
Top Bottom