Uchaguzi 2020 Kwa Ilani hii ya CHADEMA, CCM jiandaeni kuwa wapinzani baada ya kuanzia Oktoba 2020

Uchaguzi 2020 Kwa Ilani hii ya CHADEMA, CCM jiandaeni kuwa wapinzani baada ya kuanzia Oktoba 2020

Kama imeweza kukabidhiwa kwa Magufuli aliyejitangaza hadharani kichaa Kwa nini isikabidhiwe kwa Lissu tunaemjua Smart, Wise na ana Exposure kubwa???
Hujaweka mapenzi pembeni. Weka mapenzi pembeni kisha ujiulize, chadema ikishinda watapewa ikulu kirahisi tu kama nyerere alivyompa mwinyi, mwinyi akampa mkapa, mkapa akampa jk na jk akampa jpm? Ss jpm atampa lisu kirahisi tu?
 
Ukitaka kuona kwamba hawa washabiki wa chadema wako frustrated angalia hizo sera na michango ya mihemko ya hawa washabiki wa chadema. Hivi kweli unaweza kwenda kwa mwananchi wa katarero kwa visera hivi ambavyo hata ccm wanazo za namna hiyo kweli utegemee utambadilisha huyu mwananchi ya katerero apigie kura chedema. Dr. Slaa mwaka 2010 alikuwa na sera ya kuondoa nyumba za tembe na alikuwa anafafanua ni kwa namna gani watoa ondoa hizo nyumba za tembe mathalani kuondoa au kupunguza kodi kwenye vifaa muhimu vya ujenzi na pengine ikiwezekana serikali kutoa ruzuku kwa sekta ya ujenzi. Sasa hii chadema ya leo iliyopooza inakuja na visera vilivyopooza na mabazo rivals wao (ccm) wanazo miaka na miaka japo utekelezaji unaweza kuwa haujafaninyika kwa kiwango cha juu!
Acha kumfananisha Silaa mwizi wa wake za watu aliyelaaniwa na Mungu kwa kuacha upadre na Shujaa Lissu aliyeponywa kwenye Risasi 38 na Mungu!!
 
Hujaweka mapenzi pembeni. Weka mapenzi pembeni kisha ujiulize, chadema ikishinda watapewa ikulu kirahisi tu kama nyerere alivyompa mwinyi, mwinyi akampa mkapa, mkapa akampa jk na jk akampa jpm? Ss jpm atampa lisu kirahisi tu?
Kwa nini wasipewe ???
Ulisikia maneno ya Mzee Butiku juzi kwenye mkutano wa NCCR kwa vyombo vya dola na Tume???

Wewe ndo unatakiw ujiulize, kama wazee nyeti kwenye taifa hili wameongea vile je magufuli atapona kweli mwaka huu???
 
Ni ilani nzuri ila vyote tayari tingatinga amefanya na ambavyo bado tunamchagua tena avimalizie.
Hongereni kwa kujaribu tuonane 2025
Serikali kufanya biashara na kuua sekta binafsi kavifanya kwa ufanisi mkubwa sana,yaani hata kile kidogo kilichokuwa kinapatikana kakimaliza kabisa
 
Acha kumfananisha Silaa mwizi wa wake za watu aliyelaaniwa na Mungu kwa kuacha upadre na Shujaa Lissu aliyeponywa kwenye Risasi 38 na Mungu!!
Kwa hiyo baada ya kupona hizo risai 38 hiyo ndio sera ya chadema? Mimi siyo mfia chama chochote ninachotaka ni maendeleo ya nchi yetu weather yana letwa na cuf, act,ccm, au chedema mimi kwangu yote ni heri maana maendeleo hayana chama maana chama chochote makini kinaweza kuleta maendeleo ya nchi. Lakini katika kabla ya kuleta maendeleo lazima chama kiwe na sera zenye mashiko na zinazotekelezeka siyo bla bla tu kwa tamaa ya kwenda ikulu.
 
Kuna vipimo vinavyoonyesha hali ya hiyo hatari ya nguvu ya uma. So far si hatarishi kama unavyodhani japo inawezekana upepo ukabadilika, na hilo linatafutiwa ufumbuzi maana wenye mamlaka pia wanategemea uwezekano wa hilo kutokea.

Hivi kwa akili ya kawaida kabisa unaamini itakuwa kirahisi tu kukabidhi nchi kwa Lissu? Yaani majeshi, mipaka, mabomu, rasilimali za nchi n.k vyote ccm wampe lissu kwa sababu kashinda kura? Tuweke mapenzi ya chama pembeni, jibu kama binadamu mwenye utashi.
Sasa jaribuni kuingilia matakwa ya wananchi ndo mtaona kama Kuna hatari ya nguvu ya umma au la!!
 
Inabidi tuendelee kuzihubiri izi Sela za Chadema ili tuendelee kujizolea wafuasi wengi mijini na vijijini ,October 28 Lissu apate ushindi wa kishindo . Hawa wenzetu huwa hawana ilani kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo baada ya kupona hizo risai 38 hiyo ndio sera ya chadema? Mimi siyo mfia chama chochote ninachotaka ni maendeleo ya nchi yetu weather yana letwa na cuf, act,ccm, au chedema mimi kwangu yote ni heri maana maendeleo hayana chama maana chama chochote makini kinaweza kuleta maendeleo ya nchi. Lakini katika kabla ya kuleta maendeleo lazima chama kiwe na sera zenye mashiko na zinazotekelezeka siyo bla bla tu kwa tamaa ya kwenda ikulu.
We punguani nini unauliza Sera za Chadema kwani huu uzi main thread inazungumzia nini???

Sera ipi hapo unaona haina mashiko??? Uliza utekelezaji wake uambiwe sio unalalama tu hapa!!
 
We punguani nini unauliza Sera za Chadema kwani huu uzi main thread inazungumzia nini???

Sera ipi hapo unaona haina mashiko??? Uliza utekelezaji wake uambiwe sio unalalama tu hapa!!
Umeshapanic mapema hivi kabla hata ya kampeni? Ahahahha, ndugu siasa si rahisi kihivyo japo unafanya vizuri kujifariji lakini kumbuka ndoto zilizopitiliza huwa ni hatari sana zisipotimia maana unaweza kufa kabla ya muda wako!
 
Serikali kufanya biashara na kuua sekta binafsi kavifanya kwa ufanisi mkubwa sana,yaani hata kile kidogo kilichokuwa kinapatikana kakimaliza kabisa
Fastjet makampuni kibao yamefunga biashara zao ajira za Wanzania wenzetu zikasitishwa kwasabu ya sela mbovu
 
Ingekuwa vyema iwekwe katika mfumo rahisi kama walivyofanya ACT itaje itafanyanya nini katika eneo fulani na ianishe pesa za utekelezaji zitapatikanaje?
 
Back
Top Bottom