Uchaguzi 2020 Kwa Ilani hii ya CHADEMA, CCM jiandaeni kuwa wapinzani baada ya kuanzia Oktoba 2020

Kama ni ufafanuzi tu utaupata kipindi ch kampeni usitie shaka ndugu!!7
 
Ni ilani nzuri ila vyote tayari tingatinga amefanya na ambavyo bado tunamchagua tena avimalizie.
Hongereni kwa kujaribu tuonane 2025
Umewahi kufanya biashara ya kuexport?mfano prawns vibali vyake ni ghali kuliko kununua hao prawns na wakati soko la dunia bei iko palepale...wafanya biashara wengi wameacha hiyo biashara wengine wamekimbilia Msumbiji kwenye cites kafungia vibali nk nk nyie vijana wadogo hamjui kitu watu walivyokuwa masikini ghafla na wengine walikuwa wamechukua mikopo benki nyumba zao zimeuzwa
 
Saafi sana, kuna waganga njaa wata-comment hata kabla ya kusoma na kuelewa
CCM ya sasa haina falsafa yeyote kiuchumi na kijamii. Siyo wajamaa, waliberali, wala wakusanya mitaji (capitalists). Wawopowapo tu. Wanategemea ndoto za viongozi na jinsi watakavyoamka au kushauriwa na wake zao.
 
Kwans ani sera bora pili zimekuwa well presented ktk mfumo wa Slides easy to capture and comprehend.

Ni rahisi pia kutengenezea postures, flies na form mbali mabali za matangazo hasa mitandao ya kijamii, slide shows na GIF zitengenezwe haraka.

Bado niko na Idara ya habari maelezo Chadema amkeni zaidi.
 
Ndo maana nilikwambia huna akili. Nimekuuliza swali Technical nikijua tu namna utakavyojibu tu ndo nitapata uhakika kuwa wewe IQ yako ni ndogo Sana. Magufuli kuharibu au kutokuharibu havina uhusiano na Lissu kuapishwa kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, unajua hilo?, Kwahiyo unaamini Tanzania nzima watu wote au wengi wanamchukia JPM?, Mkuu nimeamua kukwambia ukweli ambao wenzako wanakuficha wewe ni MPUMBAVU. Mtu mwenye akili lazima akubali kuwa tutashinda Ila kazi Ni ngumu. Hata Lissu mwenyewe anasema hii kazi Ni ngumu ya kushinda uraisi Ila tutapambana hadi mwisho. Ila MPUMBAVU Kama wewe unasema tuna 100% za ushindi, eti JPM akabidhi nchi, kila mtu anayeongea hizi sentensi humu JF na popote ana Low thinking capacity. Very low. Huu sio uchaguzi wa uongozi wa chuo. Mmejaa mitandaoni kujazana Upumbavu na ujinga. November 2015 wengi walikimbia ID zao na kuanzisha mpya, baada ya 28 October wengi mtakimbia ID zenu pia. Nakuhakikishia Lissu hawezi kuja kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - NEVER, System haifanyi kazi Kama akili zenu zinavyowatuma, hii sio Malawi wala Zambia mnapotolea mifano. Ila unaruhusiwa kuendelea kujidanganya, ni haki yako.
 
Nimegundua kuwa wewe ni mjinga unayeamini kuwa System uchwara ndo itaendelea kuwachagulia Raisi wantanzania. Basi endelea kuamini hivyo ila kwa raarifa yako mwaka huu hiyo system yako inaenda kufuata matakwa ya nguvu ya umma.
Wajinga kama nyie mpo wengi ila mabadiriko ya kweli yanaenda kuwaelimisha nyie wajinga wote.

Mnawekeza kwenye vitisho mkitegemea watanzania ni makondoo ila kwa taarifa yako, mwaka huu hakuna ukondoo na Habari mliipata tarehe 27/07/2020 mliposema Lissu atapokewa Mtandaoni ila picha mlioona. Sasa picha kamili mtaiona mwezi October mwaka huu.
 
Kosa nikufikiri utawala wa nchi ni kitu chepesi na ni rahisi tu kumkabidhi mwingine atawale.
 

2035 tunamwachia Mungu, 2020 hakuna kumuwachia Mungu. Nani alijuwa kuwa Mkapa hatouona uchagzuzi huu wa 2020. Will see who is loafer post 28th October. Wwtch the space!
 
Kwahiyo waliompokea Lissu ndo wanakuaminisha Lissu atakuwa Raisi wa nchi hii?, Uliyaona mafuriko ya Lowassa, Lyatonga Mrema?... Unaamini nguvu ya umma ndo itamuweka Lissu ikulu?.. wewe jamaa sijui hata umeishia darasa la ngapi?, Mifano yako yoote tangu unachangia humu JF hakuna hata mmoja unaoeleza namna Lissu ataapishwa kuwa Raisi wa nchi hii. Huu sio mchakato wa kumchagua mwenyekiti wa CHADEMA. Relax utumie akili kidogo, acha mihemuko ya mitandaoni utaelewa. Usipoelewa subiri November tarehe 2 mwaka huu matokeo yatakuwa mezani tayari. Hata asilimia atakazopata Lissu zipo mezani hazifiki 20%, hii nchi haiendeshwi kwa mihemuko ya mitandaoni. Ukiamua kuelewa sawa, Ila unaruhusiwa kuendelea kujidanganya, pengine unalipwa kuandika UPUMBAVU humu JF na kwingine.
 
2035 tunamwachia Mungu, 2020 hakuna kumuwachia Mungu. Nani alijuwa kuwa Mkapa hatouona uchagzuzi huu wa 2020. Will see who is loafer post 28th October. Wwtch the space!
Hata msipomwachia Mungu hamna la kufanya, mnadanganywa na huyo chizi fresh Lissu muingie barabarani tuwatie ulemavu ndo mpate akili. Huku yeye mke wake na watoto wakiwa U.S.A wanawaangalia mnavyochapika kwa bakora kupitia CNN na BBC.
 
Magufuli hashindi mwaka huu!!! Huelewi we mtu???

Haya tukutane October 2020???
 
CCM ya sasa haina falsafa yeyote kiuchumi na kijamii. Siyo wajamaa, waliberali, wala wakusanya mitaji (capitalists). Wawopowapo tu. Wanategemea ndoto za viongozi na jinsi watakavyoamka au kushauriwa na wake zao.
Sasa nawezaje kuongea Neno hapo??
 
CCM sera zao ni za kijamaa wao na sekta binafsi ni vitu viwili tofauti
Sikiliza wewe kijana ,kwa hatua ya maisha niliyofikia,Mimi sihitaji kusikiliza Sera ya chama chochote,Mimi ninachotaka Ni kuona CCM inaondoka na kwenda kujifia taratibu kama KANU.
Mimi na Mke wangu Kura Ni kwa Lissu tu.
 
Uzeni maparachichi yana soko nje
 
Acha porojo, yangekuwa ya kweli haya si uchumi ungekuwa ume paralyse. How comes WB wanadai nchi imehama level ya uchumi?. Hizo stori wapelekee wenzio vijiweni
Sasa kula kulala wewe utajuaje hali ya uchumi wa watu? we endelea kulishwa na shemeji yako tu hapo mpaka uzeeke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…