BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Acha porojo, yangekuwa ya kweli haya si uchumi ungekuwa ume paralyse. How comes WB wanadai nchi imehama level ya uchumi?. Hizo stori wapelekee wenzio vijiweniSerikali kufanya biashara na kuua sekta binafsi kavifanya kwa ufanisi mkubwa sana,yaani hata kile kidogo kilichokuwa kinapatikana kakimaliza kabisa
PorojoKama mlivyoahirikiana Kumpiga risasi ila Mungu akawaambia baaasi!!!
ole wenu mnao shabikia mambo ya hajabu , siku kikinuka mtatafutwa kwa uchochezi kama huu katika mahakama za kijinai maana kumbukumbu huwa hazisauliki mkuu , binafsi nikuite we ni mchochezi na unaidhalilisha sana tume ya uchaguzi , so usememapo nani atamtanganza wamanisha unajua nini kitafanywa na tume haya endeleeni mtayakumabuka siku mojaNani atamtangaza?
Angalia ripoti ya WB mi nimeshaisoma nimeielewaKwani unaelewaje ukiambiwa Uchumi MDOGO wa kati?
[emoji110]Asante uwe na siku njema
Noma sana.Kama mlivyoahirikiana Kumpiga risasi ila Mungu akawaambia baaasi!!!
Ndugu mimi sio Lissu na kwa taarifa yako mimi nilikuwa CCM ninayejenga hoja zaidi yako. Kilichonifanya niondoke CCM ni baada ya kufanya tafiti ya uhakika na kujiridhisha kuwa hakuna namna CCM wataweza kuleta mabadiriko na maendeleo ya kweli ya watu na vitu hapa Tanzania.Mkuu mtu akifatilia post zako JF either anakuona umechanganyikiwa au una shida kubwa kisaikolojia unahitaji matibabu. Kuna wakati nahisi wewe ni Lissu mwenyewe. Nimesema hivyo kwasababu hauweki possibility tofauti kwenye matokeo...
Kila kitu kipo jikoni usihofuchadema chama cha kisasa sana tafadhali chadema mfumo mliokuja nao wa kunadi sera zenu ni mbinu ya kisasa kabisa fanya macchapisho ya kutosha kama vipeperushi na tatoa pongezi kuanzia mwenyekiti wenu na kambi nzima kwa ubunifu kama huu
Mkuu sera nzuri, lkn zinahitaji ufafanuzi wa ziada ni namna gani zitatekelezwa, zipo too general, sera zinatakiwa ziwe specific, otherwise huwezi ukafanikisha chochote zaidi utashika hichi, utaacha hichi utaenda kile, miaka 5 itaisha hujafanya chochote, angalia ACT wazalendo sera zao zipo very specific, wanataja sera na namna ya kuikamilisha, labda sijui ushiriki wa sekta binafsi unaotakiwa na CDM ni wa namna gani wakati tangu enzi za Mzee wa ruksa sekta binafsi walipewa nafsi lkn maendeleo hayakuwepo, au tuje kwa CCM ya viwanda a. k. a CMM ya Magufuli angalia sera zao, Magufuli anaamini bila umeme wa uhakika na miundombinu thabiti huwezi kuwa na viwanda ndio maana kajikita huko. Ni vizuri pia Chadema muwe specific kwenye sera zenu
Wote hao uliowataja kwenye huu utafiti wako jumla yao ni wangapi?, Wangapi kati ya hao wamejiandikisha kupiga kura? na ni wangapi katika hilo kundi walikuhakikisha kwamba hawampigii kura magufuli au ccm? Naomba majibu tafadhali!Ni nini ambacho nimekiongolea hakina uhalisia???
Labda nikuulize wewe, kwa jambo gani
Ndugu mimi sio Lissu na kwa taarifa yako mimi nilikuwa CCM ninayejenga hoja zaidi yako. Kilichonifanya niondoke CCM ni baada ya kufanya tafiti ya uhakika na kujiridhisha kuwa hakuna namna CCM wataweza kuleta mabadiriko na maendeleo ya kweli ya watu na vitu hapa Tanzania.
Ninaposema Lissu atashinda Nina uhakika. Ninaposema hakuna namna magufuli atashinda mwaka huu Nina uhakika.
Magufuli hafai kuwa kiongozi. Alitoa tamko moja tu bei ya Sukari ikapanda kutoka 1800 hadi 2800/3000 sasaivi na haijashuka.
Magufuli kaharibu uchumi na biashara watu wengi wamepoteza ajira. Nakwambia watu wengi wamepoteza ajira.
Magufuli kaharibu kwa watumishi wa umma. Na kwa taarifa yako hawataki hata kumsikia. Hata haki zao za kisheria ( annual increment) tu hajawapa kwa miaka 5
Magufuli kaharibu kwenye kilimo. Huku RUVUMA zuio la mazao nje ya nchi lilipelekea umasikini wa kutupwa kwa wakulima. Kwenye korosho kaharibu hapafai hata wafanyabiashara binafsi wanaogopa kurudi
Kwenye ajira hapafai. Watu wana machungu vijana wao hawajaajiliwa, Kuna watu wamepoteza kazi kwenye makampuni ya kuchimba gesi LINDI na Mtwara hawataki hata kumsikia.
Watu wana hasira na magufuli ndugu. Wanamsubiri kwenye ballot box hapo October 2020.
kwenye haki ndo usiseme. Usione watu wanafurahia kesi za kina idriss, Lissu au viongozi wa upinzani. Wewe unachukuliaje watu kuchangishana kuwatoa viongozi wa chadema???
Subiri October upate picha halisi ndugu!!!
Kwa iyo wewe ndo unawajua watu wote walioandikishwa kwenye uchaguzi. Hongera sana.Wote hao uliowataja kwenye huu utafiti wako jumla yao ni wangapi?, Wangapi kati ya hao wamejiandikisha kupiga kura? na ni wangapi katika hilo kundi walikuhakikisha kwamba hawampigii kura magufuli au ccm? Naomba majibu tafadhali!
Ufafanuzi gani unaohitaji mwana CCM?Agreed. Hizi sera ni too generic. Zinahitaji ufafanuzi katika utekelezaji. Ila pia nimeshangaa kuona some few grammatical errors kwenye Ilani hii. Kwa watu makini hapo tayari unatia ukakasi.
Huwezi kuongea mambo makubwa kama hayo tena kwa kujiamini kabisa halafu huna takwimu kama ni hivi basi wewe ni kilaza na ni jipu. Sasa naanza kuelewa kwamba wafuasi wa chadema mmeshaanza kukopi tabia za mgombea wenu anayependa kuoropoka ropoka tu bila takwimu zinazoeleweka. Pole kaka jaribu tena baadae!Kwa iyo wewe ndo unawajua watu wote walioandikishwa kwenye uchaguzi. Hongera sana.
Tukutane October!
Kuropoka nini??? Mbona CCM mnachanganyikiwa sana???? Tume wamesema mwaka huu wapiga kura ni watu Mil 29. Unataka kusema unawajua wapiga kura wote mil 29????Huwezi kuongea mambo makubwa kama hayo tena kwa kujiamini kabisa halafu huna takwimu kama ni hivi basi wewe ni kilaza na ni jipu. Sasa naanza kuelewa kwamba wafuasi wa chadema mmeshaanza kukopi tabia za mgombea wenu anayependa kuoropoka ropoka tu bila takwimu zinazoeleweka. Pole kaka jaribu tena baadae!
Mapungufu ya matarajio hayo ni jinsi ya kuyafanikisha wakati vichocheo vyake wanakejeli ni "maendeleo ya vitu".Ni ilani nzuri ila vyote tayari tingatinga amefanya na ambavyo bado tunamchagua tena avimalizie.
Hongereni kwa kujaribu tuonane 2025
Kwa hiyo tume ya uchaguzi inaongea tu from nowhere? Acha kuonyesha jinsi ulivyokubuhu kwenye ukilaza. Nenda kamwambie mwenyekiti sultani Mbowe mboreshe sera zenu japo mnaweza kuokoteza okoteza hata kura kadhaa!Kuropoka nini??? Mbona CCM mnachanganyikiwa sana???? Tume wamesema mwaka huu wapiga kura ni watu Mil 29. Unataka kusema unawajua wapiga kura wote mil 29????
Acha kujidhalilisha ndugu!!
Au wewe ndo wale kwenye utafiti wa Twaweza walisema ndo mashabiki wa CCM?
njaa imeleta akili ,endelea kukaririKwa bongo ni ngumu sana
Ufafanuzi gani unaohitaji mwana CCM?