Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
Baba Askofu tangu press yake ya juzi Kuna maneno anayarudia rudia mara kwa mara nayo SI mengine ni kuwa wanao Teka sio polisi, sio usalama wa taifa sio wanaCCM
Sio wanajeshi wa Jeshi la wananchi,
Ameenda mbali zaidi akadai wanao Teka ni kajikundi kadogo kanakowezekana kameundwa na mwanasiasa Mmoja kwa Ajili ya masilai yake binafsi.
Ameenda mbali na kudai yakuwa yawezekana kikundi hicho kila kinapofatwa KUKAMATWA basi mwanasiasa aliyekiunda anajitokeza na kuwatisha wale wakamataji na kwa kuwa yeye ni tifu tifu Majeshi yetu yanarudi nyuma kunusuru vibarua vyao maana wao ndo uwateua wakuu wa vyombo hivyo.
Leo Baba Askofu amemsihii mbunge wa kinondoni kwa kumbatiza Jina jipya la ponjori yakuwa afunge kinywa chake la sivyo atamchafua kwa kusema ukweli mpaka anuke kinyesi
Hapa Kwako mkuu wa usalama wa taifa Baba Askofu Gwajima haendi kummwagia kinyesi Abbas Tarimba A.k.a Ponjoro no anaenda kusema maovu yanayafanywa na Abasi kwa masilai mapana ya taifa kwa nini msimwoji chapu tukaujua UO upupu kulinusuru taifa kuendelea kupata viongozi wanao ingia Bungeni Ili KUJIPATIA kinga biashara zao haramu?
Mguseni anukeeeeee Gwajiboy😂🤣😂🤣😂🤣😂🥰
Bado amedai hatonyamaza mpk waliotekwa waachiwe kwa Nini nyinyi hamuungani nae chapu atoe maelezo ya kina?