Kwa Ile press, na kauli za Leo JWTZ, Magereza, POLISI tulie pembeni Usalama wa taifa linusuruni taifa,kabla ya uchaguzi

Kwa Ile press, na kauli za Leo JWTZ, Magereza, POLISI tulie pembeni Usalama wa taifa linusuruni taifa,kabla ya uchaguzi

Natamani hilo Polonjo sijui ponjoro lilopoke tena, ili lianikwe uchafu wake wote kama zinavyoanikwa chupi za bidada wa Uswahilini huko
 
kusikia hotuba ya gwajima nimekumbuka abbas na yule mbunge wa zamani wa kinondoni walikuwa wauza ngada ila wabongo tuna sahau sana.
Sasa hivi wanajificha kwenye biashara ya Petrol stations
 
  • Thanks
Reactions: Fbn
Ee Mwenye Enzi, Mungu wa Haki,
Nakusihi, nakuomba, Mjaalie ulinzi Mtumwa wako Josephat Gwajima, Mtetee, Mpinganie, mjaalie kushinda, maana anatetea haki, anatetea uhai, ambayo ni zawadi mtoaji ni wewe.
Serikali yetu iko kimya juu ya kukemea utekaji na mauaji ya waliotekwa, uhai wa mtu wanauchukulia kama uhai wa ndege na wanyama, Ee Mungu umetoa amri ya kutokuua binadamu mwingine na auye wenzake kwa, upanga (silaha yoyote)
Damu yake itandaiwa,
Eee Mungu Damu ya watu mbalimbali waliotekwa na kuuliwa na utawala huu, idai mikononi mwa wauaji, Neno lako lithibitishe kwa Yesu Kristo, Amen amen.
 
Baba Askofu tangu press yake ya juzi Kuna maneno anayarudia rudia mara kwa mara nayo SI mengine ni kuwa wanao Teka sio polisi, sio usalama wa taifa sio wanaccm
Sio wanajeshi wa Jeshi la wananchi,
Ameenda mbali zaidi akadai wanao Teka ni kajikundi kadogo kanakowezekana kameundwa na mwanasiasa Mmoja kwa Ajili ya masilai yake binafsi.

Ameenda mbali na kudai yakuwa yawezekana kikundi hicho kila kinapofatwa KUKAMATWA basi mwanasiasa aliyekiunda anajitokeza na kuwatisha wale wakamataji na kwa kuwa yeye ni tifu tifu Majeshi yetu yanarudi nyuma kunusuru vibarua vyao maana wao ndo uwateua wakuu wa vyombo hivyo.

Leo Baba Askofu amemsihii mbunge wa kinondoni kwa kumbatiza Jina jipya la ponjori yakuwa afunge kinywa chake la sivyo atamchafua kwa kusema ukweli mpaka anuke kinyesi
Hapa Kwako mkuu wa usalama wa taifa Baba Askofu Gwajima haendi kummwagia kinyesi Abbas Tarimba A.k.a Ponjoro no anaenda kusema maovu yanayafanywa na Abasi kwa masilai mapana ya taifa kwa nini msimwoji chapu tukaujua UO upupu kulinusuru taifa kuendelea kupata viongozi wanao ingia Bungeni Ili KUJIPATIA kinga biashara zao haramu?

Mguseni anukeeeeee Gwajiboy😂🤣😂🤣😂🤣😂🥰
Bado amedai hatonyamaza mpk waliotekwa waachiwe kwa Nini nyinyi hamuungani nae chapu atoe maelezo ya kina?
Kesha weza kututoa kwenye reli huyu sasa.... Hivi kama unajua mwizi na mwizi huyo anatafutwa unashindwa nini kumtaja? G-Boy yupo kazini
 
Sijui mfumo unataka kufifisha ajenda ipi!!! Sikutegemea huu mjadala usogezwe mbele kwa staili hii.
 
Back
Top Bottom