mukaruka mzee
JF-Expert Member
- Jan 22, 2020
- 970
- 482
Hakuomba kura bali alisema wana Kibamba wampigie kura mgombea wa CCM, hii ni tofauti na kuomba kura, kwani hakuwauliza wangapi watampigia kura mwana CCM pale! Bali alikuwa akiwakumbusha wajibu wao come 28/10/2020.Swali ni Je, Leo jpm alikuwa na ratiba ya kampeni Kibamba?
Kama hakuwa na ratiba hiyo then why ameomba kura akiwa kwenye Eneo ambalo kiratiba za nec hakupaswa kuwa hapo?