Uchaguzi 2020 Kwa janja hii ya CCM kutumia ugeni wa kitaifa kuomba kura NEC semeni jambo

Uchaguzi 2020 Kwa janja hii ya CCM kutumia ugeni wa kitaifa kuomba kura NEC semeni jambo

Na Lissu anajiita Rais wakati hajaapishwa hapo husemi kuna nini ?
Acha double standard.
Rais magufuli bado ni Rais mwache afanye majukumu yake.
Watu Kama wewe ndio mnamuita rais
 
CCM kupitia mgombea wake wa urais Sasa wanatumia janja janja ziara na ugeni wa kitaifa kufungua miradi na kuomba kura. Ratiba ya Magufuli inasema ana pumziko kwa muda wa siku 10 na kuendelea baadaye. Lakini leo hii na muda huu anatumia nafasi yake Kama rais kufungua miradi na hapo hapo kuomba kura.

Balance ya fairness iko wapi, hawa wenzake kina Lissu wanawekewa barrier kila Kona. Hawatakiwi hata kutembelea mashina yao na kudhibitiwa kila wakionekana kujumuika katika shughuli either kiuchumi au kijamii. Ni Lini katika kipindi chote viongozi wa nje ndio wawe wanatuwekea jiwe la msingi kwenye miradi yetu? Na kwa Nini atumie nafasi hiyo kuwaombea kura wagombea wake na yeye kujiombea kura.

Wito kwa NEC, kwa kuwa huyu anayo advantage hiyo Basi wengine nao mazingira yawaruhusu kutumia fursa itakayojitokeza.
Nothing more nothing less
 
Unataka NEC wafokewe ?
IMG_20201008_162303.jpg
 
Back
Top Bottom