mukaruka mzee
JF-Expert Member
- Jan 22, 2020
- 970
- 482
Hakuomba kura bali alisema wana Kibamba wampigie kura mgombea wa CCM, hii ni tofauti na kuomba kura, kwani hakuwauliza wangapi watampigia kura mwana CCM pale! Bali alikuwa akiwakumbusha wajibu wao come 28/10/2020.Swali ni Je, Leo jpm alikuwa na ratiba ya kampeni Kibamba?
Kama hakuwa na ratiba hiyo then why ameomba kura akiwa kwenye Eneo ambalo kiratiba za nec hakupaswa kuwa hapo?
Kwanini kawanadi wagombea ubunge na udiwani wkt alikua kwenye kofia ya uraisi na sio chama?Hiki nini tena?! Yaani Rais wa nchi aache kufanya na kutimiza majukumu na kazi zake za Kitaifa kwa sababu ya kampeni za uchaguzi!? Kweli, are you guys serious!? Juzi kaja Rais wa Uganda mbona hamkusema hili, au kwa vile hili linafanyikia hapa Dar-es-Salaam? Sielewi unataka NEC waseme nini, kwani sheria, kanuni na taratibu zinazuia hili!? Jibu ni HAPANA. Huyu ni Rais wa JMT hadi hapo atakapoapishwa Rais mwingine.
Vyovyote vileKwahiyo leo ilikuwa shughuli ya serikali au kampeni?
Mapoyoyo hao huwa hawasomi wakaelewa.yaani hawataki kushirikisha ubongo wao kabisa.Uwe unasoma na kuelewa hoja sio unakurupuka tu!
Ratiba ya JPM kwa maswala ya kampen ni kuanzia tarehe tisa
Na Leo kwa ratiba za nec mgombea urais wa ccm Hana ratiba Kibamba
Imekuwaje yy Leo kwenye Eneo la Kibamba anafanya kampen?
Hiyo ndio hoja
Amefanya kampeni gani au unataka kufanya ligi pasipo mechi! Hakufanya kampeni pale, labda unataka kuilazimisha iwe hivyo humu JF!? Nani mwenye ratiba Kibamba - Mbunge wa CCM au Mbunge wa nini aua nani!?Uwe unasoma na kuelewa hoja sio unakurupuka tu!
Ratiba ya JPM kwa maswala ya kampen ni kuanzia tarehe tisa
Na Leo kwa ratiba za nec mgombea urais wa ccm Hana ratiba Kibamba
Imekuwaje yy Leo kwenye Eneo la Kibamba anafanya kampen?
Hiyo ndio hoja
HahaMpuuzi ni wewe usiyejua kwamba kampeni hazitakiwi kwenye shughuli za kiserikali.
Majibu ya mkosaji haya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vyovyote vile
Ila kama unavijua vyeo vyake
Kawanadi kwa vile ni kipindi cha KAMPEINI za Uchaguzi Mkuu. Mbona aklisemea Ikulu hampagawi, leo kalisemea Kibamba mmepagawa, KULIKONI KIBAMBA!?Kwanini kawanadi wagombea ubunge na udiwani wkt alikua kwenye kofia ya uraisi na sio chama?
Kwa hiyo amefanya mkutano wa kampeni?Swali ni Je, Leo jpm alikuwa na ratiba ya kampeni Kibamba?
Kama hakuwa na ratiba hiyo then why ameomba kura akiwa kwenye Eneo ambalo kiratiba za nec hakupaswa kuwa hapo?
Huyo ni rais,amiri jeshi mkuu wa vyombo vya ulinzi na usalama na pia kumbuka ni mgombea na mwenyekiti wa chama tawala.Swali ni Je, Leo jpm alikuwa na ratiba ya kampeni Kibamba?
Kama hakuwa na ratiba hiyo then why ameomba kura akiwa kwenye Eneo ambalo kiratiba za nec hakupaswa kuwa hapo?
Ila kumbuka huyo bado ni rais, Amir jeshi wa vyombo vya ulinzi na usalama, mwenyekiti wa chama tawala na mgombea pia.Mkuu ukiweka ushabiki wa kivyama pembeni kisha ukafikiri kwa makini basi utagundua kuwa tunae Kiongozi aliyepungukiwa Hekima na Busara.
Haya yote ni kuwadhalilisha wale aliowateua hasa Viongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi. Kwakuwa tu ni yeye aliyewateua.
Haya anayoyafanya hivi sasa yangeweza kufanyika kabla au baada ya Uchaguzi.
Huyo ni rais,amiri jeshi mkuu wa vyombo vya ulinzi na usalama na pia kumbuka ni mgombea na mwenyekiti wa chama tawala.
Cha kujilaumu jilaumu ulivyosusia hadi ikiwapelekea kutoka bungeni kwenye mchakato wa katiba mpya. Katiba ya sasa ndio imemfanya kufanya vyote kwa pamoja.
Kwa hiyo amefanya mkutano wa kampeni?
Amefanya kampeni gani au unataka kufanya ligi pasipo mechi! Hakufanya kampeni pale, labda unataka kuilazimisha iwe hivyo humu JF!? Nani mwenye ratiba Kibamba - Mbunge wa CCM au Mbunge wa nini aua nani!?
Hakuomba kura bali alisema wana Kibamba wampigie kura mgombea wa CCM, hii ni tofauti na kuomba kura, kwani hakuwauliza wangapi watampigia kura mwana CCM pale! Bali alikuwa akiwakumbusha wajibu wao come 28/10/2020.
Ni mwenyekiti wa chama tawala,je Shibuda anaongoza ana serikali?Kaka unafeli
Mbona swali liko wazi?
Kama ni mwenyekiti basi hata Shibuda ni mwenyekiti pia...
Kwahiyo leo ilikuwa shughuli ya serikali au kampeni?Upuuzi mtupu kudhani shughuli za kiserikali zina ukomo kipindi cha kampeni.
Tetea hoja yakoVyovyote vile
Ila kama unavijua vyeo vyake
Umesahau pia ni mwenyekiti wa chama tawala?Kwanini kawanadi wagombea ubunge na udiwani wkt alikua kwenye kofia ya uraisi na sio chama?