Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Kama kawaida yenu.... Mnapenda Okota lose balls. Hamna kitu kwa huyo mchezaji. Nimekaa hapa.
Mtakuja niambia. Huyo patupu kabisa. Hakuna mfungaji hapo. Labda mumuache Bocco. Mnahangaika sana.
Mwamba
Ngoja sisi tusio tumia app tusubiri taarifa rasmi kwanza tuone kama ni kweli sliyeletwa ni Jean Claude Van Damne au ni Bolo Young
Usihangaike brother, huyo mwamba hata profile hana!
Hawa ndugu zetu wanatia huruma![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usihangaike brother, huyo mwamba hata profile hana!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Stats zake za haraka haraka nilizofanikiwa kupataMwamba
Hapendi ustaaUsihangaike brother, huyo mwamba hata profile hana!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Lile goli linauma mpaka leo mzeeBaleke mwenye Umri wa Miaka 21 alirejea TP Mazembe akitokea Klabu ya Nejmeh SC ya Lebanon alikoenda Kwa Mkopo pamoja na Chico Ushindi na Simba imeona ni Chaguo bora zaidi kwa aina ya Mshambuliaji aliyependekezwa na Kocha Robert Oliviera 'Robertinho'
-Ikumbukwe Baleke ndiye aliyekuwa Mfungaji bora wa Ligi Kuu Nchini DR Congo Msimu wa 2020/21 Kwa kumaliza na magoli 14 huku akimzidi Fiston Mayele Kwa goli Moja na pia Ndiye aliyefunga goli la Ushindi kwenye Mechi kati ya Simba na TP Mazembe kwenye Simba Day.
Mbele y Chama mwamba kama huyu atafunga sanaBaleke mwenye Umri wa Miaka 21 alirejea TP Mazembe akitokea Klabu ya Nejmeh SC ya Lebanon alikoenda Kwa Mkopo pamoja na Chico Ushindi na Simba imeona ni Chaguo bora zaidi kwa aina ya Mshambuliaji aliyependekezwa na Kocha Robert Oliviera 'Robertinho'
-Ikumbukwe Baleke ndiye aliyekuwa Mfungaji bora wa Ligi Kuu Nchini DR Congo Msimu wa 2020/21 Kwa kumaliza na magoli 14 huku akimzidi Fiston Mayele Kwa goli Moja na pia Ndiye aliyefunga goli la Ushindi kwenye Mechi kati ya Simba na TP Mazembe kwenye Simba Day.
Kwani sajili za simba lazima zikufurahishe wewe mnywa wanzuki wa utopoloni au shida ni huo mwiko?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] nacheka kama mazuri vile.
Ila ukweli ndugu zangu wa Simba sijui mnafeli wapi sajili zenu kwa hivi karibuni zinatia kichefuchefu sana
ScarsBaleke mwenye Umri wa Miaka 21 alirejea TP Mazembe akitokea Klabu ya Nejmeh SC ya Lebanon alikoenda Kwa Mkopo pamoja na Chico Ushindi na Simba imeona ni Chaguo bora zaidi kwa aina ya Mshambuliaji aliyependekezwa na Kocha Robert Oliviera 'Robertinho'