Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Ebolaaaa nyingineee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebolaaaa nyingineee
Hilo no Jini mzee! utaliona!Usihangaike brother, huyo mwamba hata profile hana!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Jini Baleke ukifunga umefunga na usipofunga umefunga 🦁 Nguvu moja!Tumpeleke kwa Mwamposa, akapate upako wa magoli
Kama msukule kambole vipi mtampeleka kwa mwamposa au kwa katortoise?Ebolaaaa nyingineee
Uyo ni dejan mweusi
Makambo ndo hamkutaka hata kumpa sekandi chansi kabisa kumpima kwenye mapinduzi cupUyo ni dejan mweusi
Na mzungu kilichokuwa kinamponza ilikuwa ni rangiUyo ni dejan mweusi
Makambo ndo hamkutaka hata kumpa sekandi chansi kabisa kumpima kwenye mapinduzi cup
Leo hii usiku naskia tayati mshampa mkono wa kwaheri na giza lote hili afu Dar kuna wingu kubwa mda wowote mvua inashuka mnataka aende wapi?
Kulichomponza mzungu ni uwezo mdogo. Hapa bongo kwa miaka mingi mtu kujiita, kuitwa au kulinganishwa kwa namna yoyote na mzungu ilikua sifa nzuri ila baada ya dejan kuflop ghafla kuitwa mzungu ikawa tusiNa mzungu kilichokuwa kinamponza ilikuwa ni rangi
Kwa hiyo huyu kama ni mweusi basi tumeula
Alikuwa mfungaji Bora wa wapi?? Alikuwa timu gani 2020?Baleke mwenye Umri wa Miaka 21 alirejea TP Mazembe akitokea Klabu ya Nejmeh SC ya Lebanon alikoenda Kwa Mkopo pamoja na Chico Ushindi na Simba imeona ni Chaguo bora zaidi kwa aina ya Mshambuliaji aliyependekezwa na Kocha Robert Oliviera 'Robertinho'
-Ikumbukwe Baleke ndiye aliyekuwa Mfungaji bora wa Ligi Kuu Nchini DR Congo Msimu wa 2020/21 Kwa kumaliza na magoli 14 huku akimzidi Fiston Mayele Kwa goli Moja na pia Ndiye aliyefunga goli la Ushindi kwenye Mechi kati ya Simba na TP Mazembe kwenye Simba Day.
Alipata ajali akiwa road nini?Makambo Ni Majeruhi Wewe.
Subiri tu kumuona uwanjani athibitishe alichonacho ila kwa profile ya nyuma hakuna kitu. Katokea ligi ya Lebanon. Alikuwa Tp Mazembe kacheza mechi tano goli 0 ila huku Lebanon msimu huu kacheza mechi 11 ana goli 3 na assist moja
Msimu mmoja na nusu ulitaka apewe nafasi ngani zaidi? Ila kama kamalizana na uongozi wameachana kwa amani iyo ndo proffesionalism sio uhuni aliotaka kuufanya feisalMakambo ndo hamkutaka hata kumpa sekandi chansi kabisa kumpima kwenye mapinduzi cup
Leo hii usiku naskia tayati mshampa mkono wa kwaheri na giza lote hili afu Dar kuna wingu kubwa mda wowote mvua inashuka mnataka aende wapi?
Ni kama Newcastle ilivyokuwa inachukuliwa kabla ya ujio wa BigirimanaKulichomponza mzungu ni uwezo mdogo. Hapa bongo kwa miaka mingi mtu kujiita, kuitwa au kulinganishwa kwa namna yoyote na mzungu ilikua sifa nzuri ila baada ya dejan kuflop ghafla kuitwa mzungu ikawa tusi
nakuongezea ni mfungaji bora wa mazembe ,alitokea js kinshansa, mayele anamjuaStats zake za haraka haraka nilizofanikiwa kupata
Kwanza dogo ana miaka 21 (kazidiwa kidogo na onyango)
Kacheza mechi 11 kafunga goli 3 ila sijajua kwenye hizo mechi 11 alicheza kwa dakika ngapi
Club aliyotokea inaitwa Nejmeh ni mkongo jamaa
Kumbe aliwahi kuwafunga, labda ndo sababu kasajiliwaLile goli linauma mpaka leo mzee
Sijawahi kuifatilia newcastle kabla na baada ya bigirimana.. naomba nijuze kwa ufupiNi kama Newcastle ilivyokuwa inachukuliwa kabla ya ujio wa Bigirimana
Na namna alivyoifanya ionekane baada ya kuja
Katika huo msimu mmoja alikuwa anaanzia benchi ila Makambo nilikiwa namuona anakuwa bora sana kwenye mechi za mikoaniMsimu mmoja na nusu ulitaka apewe nafasi ngani zaidi? Ila kama kamalizana na uongozi wameachana kwa amani iyo ndo proffesionalism sio uhuni aliotaka kuufanya feisal
Bigirimana ni former player wa newcastleSijawahi kuifatilia newcastle kabla na baada ya bigirimana.. naomba nijuze kwa ufupi
Ujio wa makambo kwa mara ya pili haukuweza kutimiza matarajioKatika huo msimu mmoja alikuwa anaanzia benchi ila Makambo nilikiwa namuona anakuwa bora sana kwenye mechi za mikoani
Lakini ilifika stage hadi kwenye hizo hizo mechi ambazo nilimuona bora bado aliendelea kupwaya
Sijui shida ilikuwa wapi aisee