Namba za JEAN BALEKE zinatisha[emoji1316][emoji1316] amefunga mfululizo kwenye mechi tano (5) za mashindano yote [Ligi Kuu, Kombe la Shirikisho la TFF na Ligi ya Mabingwa Afrika].
Katika hizo mechi tano (5) amefunga jumla ya magoli 11 ikiwa ni hat-trick mbili, magoli mawili (brace) kwenye mechi moja mara mbili na goli moja kwenye mchezo mmoja!
[emoji460]️[emoji460]️ vs Ihefu [NBC PL]
[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️ vs Ihefu SC [ASFC]
[emoji460]️ vs Raja AC [CAF CL]
[emoji460]️[emoji460]️ vs Horoya AC [CAF CL]
[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️ vs Mtibwa Sigar [NBC PL]