Kwa Jean Baleke Mmelamba Garasa Jingine Watani zangu

Kwa Jean Baleke Mmelamba Garasa Jingine Watani zangu

Makambo ndo hamkutaka hata kumpa sekandi chansi kabisa kumpima kwenye mapinduzi cup

Leo hii usiku naskia tayati mshampa mkono wa kwaheri na giza lote hili afu Dar kuna wingu kubwa mda wowote mvua inashuka mnataka aende wapi?

Makambo Ni Majeruhi Wewe.
 
Na mzungu kilichokuwa kinamponza ilikuwa ni rangi

Kwa hiyo huyu kama ni mweusi basi tumeula
Kulichomponza mzungu ni uwezo mdogo. Hapa bongo kwa miaka mingi mtu kujiita, kuitwa au kulinganishwa kwa namna yoyote na mzungu ilikua sifa nzuri ila baada ya dejan kuflop ghafla kuitwa mzungu ikawa tusi
 
Baleke mwenye Umri wa Miaka 21 alirejea TP Mazembe akitokea Klabu ya Nejmeh SC ya Lebanon alikoenda Kwa Mkopo pamoja na Chico Ushindi na Simba imeona ni Chaguo bora zaidi kwa aina ya Mshambuliaji aliyependekezwa na Kocha Robert Oliviera 'Robertinho'

-Ikumbukwe Baleke ndiye aliyekuwa Mfungaji bora wa Ligi Kuu Nchini DR Congo Msimu wa 2020/21 Kwa kumaliza na magoli 14 huku akimzidi Fiston Mayele Kwa goli Moja na pia Ndiye aliyefunga goli la Ushindi kwenye Mechi kati ya Simba na TP Mazembe kwenye Simba Day.
Alikuwa mfungaji Bora wa wapi?? Alikuwa timu gani 2020?
 
E bana kumbe kweli

Nani mwenye profile ya huyu mwamba atusaidie tumjue
View attachment 2482778
Subiri tu kumuona uwanjani athibitishe alichonacho ila kwa profile ya nyuma hakuna kitu. Katokea ligi ya Lebanon. Alikuwa Tp Mazembe kacheza mechi tano goli 0 ila huku Lebanon msimu huu kacheza mechi 11 ana goli 3 na assist moja
IMG_20230115_232602.jpg
IMG_20230115_232822.jpg
IMG_20230115_233419.jpg
 
Makambo ndo hamkutaka hata kumpa sekandi chansi kabisa kumpima kwenye mapinduzi cup

Leo hii usiku naskia tayati mshampa mkono wa kwaheri na giza lote hili afu Dar kuna wingu kubwa mda wowote mvua inashuka mnataka aende wapi?
Msimu mmoja na nusu ulitaka apewe nafasi ngani zaidi? Ila kama kamalizana na uongozi wameachana kwa amani iyo ndo proffesionalism sio uhuni aliotaka kuufanya feisal
 
Kulichomponza mzungu ni uwezo mdogo. Hapa bongo kwa miaka mingi mtu kujiita, kuitwa au kulinganishwa kwa namna yoyote na mzungu ilikua sifa nzuri ila baada ya dejan kuflop ghafla kuitwa mzungu ikawa tusi
Ni kama Newcastle ilivyokuwa inachukuliwa kabla ya ujio wa Bigirimana

Na namna alivyoifanya ionekane baada ya kuja
 
Stats zake za haraka haraka nilizofanikiwa kupata

Kwanza dogo ana miaka 21 (kazidiwa kidogo na onyango)

Kacheza mechi 11 kafunga goli 3 ila sijajua kwenye hizo mechi 11 alicheza kwa dakika ngapi

Club aliyotokea inaitwa Nejmeh ni mkongo jamaa
nakuongezea ni mfungaji bora wa mazembe ,alitokea js kinshansa, mayele anamjua
 
Ni kama Newcastle ilivyokuwa inachukuliwa kabla ya ujio wa Bigirimana

Na namna alivyoifanya ionekane baada ya kuja
Sijawahi kuifatilia newcastle kabla na baada ya bigirimana.. naomba nijuze kwa ufupi
 
Msimu mmoja na nusu ulitaka apewe nafasi ngani zaidi? Ila kama kamalizana na uongozi wameachana kwa amani iyo ndo proffesionalism sio uhuni aliotaka kuufanya feisal
Katika huo msimu mmoja alikuwa anaanzia benchi ila Makambo nilikiwa namuona anakuwa bora sana kwenye mechi za mikoani

Lakini ilifika stage hadi kwenye hizo hizo mechi ambazo nilimuona bora bado aliendelea kupwaya

Sijui shida ilikuwa wapi aisee
 
Ujio wa makambo kwa mara ya pili haukuweza kutimiza matarajio
 
Back
Top Bottom