Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Najua kacheza newcastle kabla hata sijamjua hersi wala gsm.. ila sijajua watu walikua wanaichukuliaje newcastle kabla ya birigmana ndo maana nikaomba unielezee kuhusu ilo kwa ufupiBigirimana ni former player wa newcastle
Hersi hakuwambia?
Eti ni kweli kuwa National team dogo alikuwa na magoli mengi kumzidi Mayele?Subiri tu kumuona uwanjani athibitishe alichonacho ila kwa profile ya nyuma hakuna kitu. Katokea ligi ya Lebanon. Alikuwa Tp Mazembe kacheza mechi tano goli 0 ila huku Lebanon msimu huu kacheza mechi 11 ana goli 3 na assist mojaView attachment 2482816View attachment 2482817View attachment 2482818
Aende kwa bwana wao ihefuMakambo ndo hamkutaka hata kumpa sekandi chansi kabisa kumpima kwenye mapinduzi cup
Leo hii usiku naskia tayati mshampa mkono wa kwaheri na giza lote hili afu Dar kuna wingu kubwa mda wowote mvua inashuka mnataka aende wapi?
Mkuu na wewe jaribu ku google unavyoweza kama utapata majibu ya kitu kama hicho share nasi humu. Binafsi nime google sijapata hiyo takwimu. Kuna mtu nimemsikia humu akisema aliwahi kuwa top scorer wa ligi ya Congo hilo nimejaribu kutafuta kwenye kila source sijapata. Embu anayejua atuwekee hizo source au hizo takwimu za top scorerEti ni kweli kuwa National team dogo alikuwa na magoli mengi kumzidi Mayele?
Nimetoa hapa kwa mujibu kwa afsa wenuMkuu na wewe jaribu ku google unavyoweza kama utapata majibu ya kitu kama hicho share nasi humu. Binafsi nime google sijapata hiyo takwimu. Kuna mtu nimemsikia humu akisema aliwahi kuwa top scorer wa ligi ya Congo hilo nimejaribu kutafuta kwenye kila source sijapata. Embu anayejua atuwekee hizo source au hizo takwimu za top scorer
Alipata ajali akiwa road nini?
Maana hakuwa hapati nafasi sasa hayo majeruhi aliyapatia wapi?
Huyo alishaweka picha ya Luis Miquisone kwenye page yake na kuaminisha kuwa ni swala la muda tu. Binafsi katika watu ambao huwa nampuuza ni huyu mtu. Takwimu za mchezaji sio siri kiasi kwamba mtu ukasachi ukosechangaule hii ni trustable source kwako au tuipuuze?
[emoji4][emoji4][emoji4]nakuongezea ni mfungaji bora wa mazembe ,alitokea js kinshansa, mayele anamjua
Kama MBUMBUMBU wanavyoumia Feisal kubaki Yanga.Kinachokuuma wewe nini?
Kwanini Simba wanafanya mambo ya hovyo mbona Kenya Uganda kuna wachezaji wazuri tu, kwanini wasimuchie kocha alete wachezaji kuliko kumuokotea na kumletea, timu ikifanya vibaya lawama kwa kocha na wanamfukuza kumbe tatizo la wao viongoziKama kawaida yenu.... Mnapenda Okota lose balls. Hamna kitu kwa huyo mchezaji. Nimekaa hapa.
Mtakuja niambia. Huyo patupu kabisa. Hakuna mfungaji hapo. Labda mumuache Bocco. Mnahangaika sana.
Kama kawaida yenu.... Mnapenda Okota lose balls. Hamna kitu kwa huyo mchezaji. Nimekaa hapa.
Mtakuja niambia. Huyo patupu kabisa. Hakuna mfungaji hapo. Labda mumuache Bocco. Mnahangaika sana.
cc: OKW BOBAN SUNZU ππKama kawaida yenu.... Mnapenda Okota lose balls. Hamna kitu kwa huyo mchezaji. Nimekaa hapa.
Mtakuja niambia. Huyo patupu kabisa. Hakuna mfungaji hapo. Labda mumuache Bocco. Mnahangaika sana.
c.c Chizi Maarifa aje kula matapishicc: OKW BOBAN SUNZU ππ
Unachochea moto... Tayari jina lake limepelekwa kwa mganga. Kwani Phiri yupo wapi?cc: OKW BOBAN SUNZU ππ