Kwa jibu hili la Mpenzi wa Ray Kigosi Mrembo Chuchu Hans, Wanawake mkizidi kudharauliwa mtalaumu?

Acha uhafidhina wa kuangalia vipindi vya kimama mama

Mbona hili bado ni ' jepesi ' Kwangu? Nimekupa ruhusa yote kuwa naomba unidhihaki kwa maneno makali zaidi au hata tusi jipya kwani haya unayoniandikia hapa wala hayaniumi wala hayanitoi katika ' reli '. Kama vipi washirikishe hao waliokupa ' Likes ' zao katika lile neno lako la ' dhihaka ' Kwangu katika post yako ya awali ili kama na Wao wakusaidie kukupa maneno ya ' Kunidhihaki ' zaidi.
 
Kwanza hujamuelewa chuchu hakumsaliti mumew ila mumewe ndiye aliyemsaliti kaenda Australia kisha akoa mke wa din nyingine
Na ndiyo kasema hivyo mme alianza kuoa huko ndipo naye akaanzisha maisha yake, wanaume nao wanajua kupika majungu jamani mnaweza jikukuta mke na mme mnasutwa tena kwakufungwa kanga na vigoma kabisa [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Mimi ninakaushauri kadogo tu kwa kinadada ambao wako ktk mahusiano ni bora wakatoa ngenye kwanza kabla ya interview yeyote kabisa kwa sababu huwa hawafikirik

Nilishaona wangu akianza kushindwa kunielewa au kukosea kosea naenda kusuza rungu anakuwa pure.

Teh
 
Jibu murua

Msaidie ili aniongezee lingine tafadhali. Hongera zako sana kwa siku hizi kuamua kutumia ID yako hii kwa ' Kuniogopa ' na kuipumzisha ile ya kawaida na iliyozoeleka humu ambayo mara nyingi nimekuwa ' nikikusiliba ' nayo. Ulipoamkia Wewe leo Mimi nililala huko majuzi.
 
Hakuna mahali amesema aliamua kuzaa na Ray ili waoane au alikuwa anatafuta mtoto kwa ray wakati alipokubali kufanya tendo la ndoa. Hivyo waachwe wahandle hiyo situation kama wanavyoona inafaa. Usihukumu.
 
Nimemuhurumia sana kwa hii post yake
 

Mkuu wala usipate nao taabu Watu kama hawa kwani kinachowafanya ' wanichukie ' na kila mara wanifuatilie ni mambo haya makuu manne ambayo kwa bahati nzuri sana Mwenyezi Mungu kanibariki nayo ila kwa bahati mbaya Wao hawajabarikiwa navyo na wasichokijua kadri wanavyozidi kunichukia na kunidhihaki tena wengi wao kwa kutumia ID's zao ' mbadala ' ndiyo Kwanza wanazidi kunipandisha ' Chati ' na kuzidi kunifanya niwe ' tofauti ' na Wao humu.

Vitu vyenyewe ni:

  1. Intelligence
  2. Knowledge
  3. Exposure
  4. Charm
Halafu'Mtu mzima kabisa anasema kuwa kuangalia Kipindi cha SHILAWADU ni vibaya wakati hajui kwamba kupitia Kipindi hiki hiki cha SHILAWADU unaweza kupata ' angle ' ya Story kama ambavyo nimeipata hii lakini kama haitoshi unaweza kukitumia hiki Kipindi kufanya ' tafiti ' yako ya kujua maisha ya Watu maarufu na mwenendo wa Watu katika Jamii zetu hizi za Kitanzania lakini mwisho kabisa ili uwe ' all rounder analyst ' mzuri yakupasa angalau uwe unafuatilia Vipindi vingi na Taarifa nyingi ili vikusaidie kuwa na uwanda mkubwa wa Kujenga ' Hoja ' zako hasa pale unapotaka kufanya chambuzi au tathmini.

Nachukiwa na Wapumbavu wengi humu Jamvini ila nashukuru sana kuwa nakubalika na naheshimika na Werevu wengi na ndiyo maana ili kulithibitisha hilo kila napokea tu notifications za ' New Followers ' ambao kwa bahati nzuri wote ni wale Members walio makini ' upstairs '. Kuwa ' followed ' na Watu / Members 30 hasa humu JamiiForums siyo kitu cha kawaida Mkuu hasa ukizangatia hao ' Followers ' wote ni Great Thinkers wa ukweli. Waulize hao Wote wanaohangaika Kunuchukia na Kunidhihaki humu kila Uchao je Wao wako ' followed ' na Members humu?

Ukiona Watu wanahangaika na Wewe jua kuwa kuna ' Kitu ' umewazidi bila kusahau ' Nyota ' kali inawatesa vilivyo.

Cc:
dictator cha pombe
Tabby
ferg
Selwa
Twinawe
 
Punguza kisebengo mkuu itakutokea puani next time
Me zamani ilikuwa mtu jinsia tofauti akinitusi, huyo 'kaenda'.
Niliamini kuwa mtukanaji ni mzuri sana kwenye 6'squared, si dhana tu, bali ndivyo walivyo ukimtengeneza mpenzi, utapumzika. Lakini sasa mama uzee nao huja na mengi!
Kutukana ni sanaa ya kijanja ya kupangilia maneno mfululizo.
Ni sawa na kucheza game ama karata.
Michezo hiyo mara nyingi mimi hufungwa. Na ndiyo maana nikiona dalili za mtu kuntusi, hupiga goti kumbembeleza yaishe, lakini si kwamba matusi huniumiza, no, sina tu ujanja wa kuumba maneno ya mfululizo.
Enzi zangu niliweza kukesha.
 
Punguza kisebengo mkuu itakutokea puani next time

Kwanini unasumbuka na hao? Naomba uendelee na Mimi tu na una uhuru wote wa Kunitukana na Kunidhihaki na ukiweza hata Kunitishia pia maisha kwani unaonyesha Wewe ndiyo kila kitu humu Jamvini na hata nchini kiasi kwamba hakuna wa Kukutisha na ukizingatia wote tunatumia fake ID's uhuru wote unao hivyo utumie tafadhali.
 
Kumbe na tambo zako zoooote huwa unaangalia hicho kipindi??? Unafuatilia "wambea" wa duniani?? Unajua kabisa umbea ni uongo uliopanda lift. Usiku mwema
 
Hakuna mahali amesema aliamua kuzaa na Ray ili waoane au alikuwa anatafuta mtoto kwa ray wakati alipokubali kufanya tendo la ndoa. Hivyo waachwe wahandle hiyo situation kama wanavyoona inafaa. Usihukumu.

Nadhani ' Hoja ' yangu Kuu hujaielewa na sikushangai sana kwani yawezekana pia ni tatizo la Mfumo wako mzima wa Elimu uliyobahatika kuwa nayo ambayo imekujenga hivyo kwa kutokuwa mwelewa haraka hasa katika ' Mada ' zenye kuhitaji IQ kubwa kuzikabili. Tulia halafu pitia tena ' Content ' nzima labda safari hii unaweza ukang'amua chochote.
 
Hivi ina maana wanawake wote tunakuwa tunapimwa kupitia wanawake ambao hata jamii haiwatambui kuwa na mchango wowote wa maana ?

Such an insult.
 
Hongera kwa kuujua tatizo la mfumo wangu wa elimu ulivyoathiri IQ yangu lakini nitaendelea kuamini umeshindwa kunielews kwa kuwa mimi siyo mtu wa maneno mengi kwenye jambo dogo.
 
Hivi ina maana wanawake wote tunakuwa tunapimwa kupitia wanawake ambao hata jamii haiwatambui kuwa na mchango wowote wa maana ?

Such an insult.

Katika Research Principles Chuchu Hans anaweza pia akatumika kama Sample mojawapo ya Wanawake wa Kizazi hiki na kumuweka au kumtumia Yeye kamwe haimaniishi kwamba Wanawake wote 100% mnafanana nae japo anawakilisha wengi wenu. Kitaaluma nilichokiwasilisha hapo nipo nacho sahihi kabisa. Sikujua kama na Wewe unaweza ukawa na aina hii ya ' udhaifu ' wa kujua Kutafakari vizuri kama Great Thinker. Umeniangusha mno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…