GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Acha uhafidhina wa kuangalia vipindi vya kimama mama
Mbona hili bado ni ' jepesi ' Kwangu? Nimekupa ruhusa yote kuwa naomba unidhihaki kwa maneno makali zaidi au hata tusi jipya kwani haya unayoniandikia hapa wala hayaniumi wala hayanitoi katika ' reli '. Kama vipi washirikishe hao waliokupa ' Likes ' zao katika lile neno lako la ' dhihaka ' Kwangu katika post yako ya awali ili kama na Wao wakusaidie kukupa maneno ya ' Kunidhihaki ' zaidi.