kauga Jafar
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 230
- 123
Mkuu unajishusha sana hivi vitu ukiangalia piga kimya sasa na wewe naye mambo ya umbeya wa shirawadu mambo ya kikekike unaleta humuNaangalia Vipindi vyote Mkuu kikiwemo hiki cha SHILAWADU na wala sioni aibu au ubaya kusema kuwa nakiangalia.
The comedMfano mwanao anakuuliza, "baba unaangalia kipindi gani" utam jibu nini!?
Kipindi cha wanawake na mashoga icho
Magufuli yupi?Hujui magufuli nae anafwatilia hicho kipindi??
Kwann udanganye!?The comed
Ilikutokea nnNa ndiyo kasema hivyo mme alianza kuoa huko ndipo naye akaanzisha maisha yake, wanaume nao wanajua kupika majungu jamani mnaweza jikukuta mke na mme mnasutwa tena kwakufungwa kanga na vigoma kabisa [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Rais wa tanzania.Magufuli yupi?
Unadanganya nn? Kwa ww huoni hicho kipind sawa na comedy?Kwann udanganye!?
EssayUmeandika aina gani ya Easy?
Duh! So shocked sikujua bossRais wa tanzania.
Hujui magufuli nae anafwatilia hicho kipindi??
Ndio uwe makini sio una andika tu!!Duh! So shocked sikujua boss
Kwani nani kamzuia?Kwani katika Katiba ya Tanzania kuna mahala popote pamesema au pamemkataza Rais asiwe anaangalia Vipindi fulani katika Runinga? I never knew You're also this STUPID!
Ukituliza mawenge na mihemko utanielewa, fwatilia majibu niliyompa aliyeandika hiyo post utaelewa nna maanisha nini, sawa?Kwani katika Katiba ya Tanzania kuna mahala popote pamesema au pamemkataza Rais asiwe anaangalia Vipindi fulani katika Runinga? I never knew You're also this STUPID!
Kwanini usimtamkie jina halisi la kipindi!Unadanganya nn? Kwa ww huoni hicho kipind sawa na comedy?
Umeandika aina gani ya Easy?