Kwa jibu hili la Mpenzi wa Ray Kigosi Mrembo Chuchu Hans, Wanawake mkizidi kudharauliwa mtalaumu?

Kwa jibu hili la Mpenzi wa Ray Kigosi Mrembo Chuchu Hans, Wanawake mkizidi kudharauliwa mtalaumu?

Kwani kuna kipindi cha ushamba na uelevu lakin MTU mwenye IQ anafuatilia kila kitu ili awe na data sijui wewe ukiangalia series kama ndo utakua umejengeka kifikra wanao toa references wanaangalia vitu mbali mbali ndo nyie mnasema wajanja mnavaa boxer milegezo
 
Usitafute na Wewe ' nikakudharau ' tafadhali sawa? Nimekuambia kuwa uko sahihi kuwa anaitwa hilo jina na usidhani labda nilikuwa sijui bali nimetumia jina lake la Ray ambalo ndilo ' Brand Name ' yake kwa Mashabiki na Watanzania wengi wa ndani na nje ya mipaka. Napenda sana Watu wenye kuelewa haraka na siyo tu kutaka kubishana ' Kipuuzi ' sawa?
Sasa upuuzi upo wapi? Umeuliza nimeanza kumfuatilia lini? Nimekujibu tangu akiitwa Vicent Kigosi kwamana tangu haja apply hilo la Ray... Mkuu una panic kwa jambo la kipuuzi tu? Yani upuuzi tu as u said!!!!
 
Information gani unaipata kwenye icho kipindi sister?

Sasa kama ulishindwa tu kutofautisha kati ya haya maneno mawili ya ' Easy ' na ' Essay ' utaweza kweli kuelewa kuwa ninapoangalia hicho Kipindi cha SHILAWADU huwa napata Information gani? Hivi hata huoni aibu jinsi unavyoendelea ' Kubishana ' nami wakati tayari nimeshakudharau, kupuuza na ninachokufanyia sasa ni ' Kukusanifu ' tu? Jishtukie basi!
 
Ningeshangaa kama uzi wangu huu usingepata comment ya Kipumbavu kama hivi iliyotoka kwa Mpumbavu wa Kiwango ambacho nakiamini ni cha Kimataifa.
Huwezi badili nachokiamini, na ukweli ni kwamba wewe bwege 'Gentafucking' umepoteza ushawishi katika watu waliokua na heshima humu JF ,kama mimi ni wakwanza kusema hili basi wapo watakaofuata maana umekua mtusi na mtu mwenye dharau sasa dawa yako kukudharau zaidi maana hautakuwa wa maana zaidi ya kutusi watu na kudharau.. Utajikuta mchangiaji tu acha dharau boss kupewa heshima haimaanishi umewazidi watu kielimu au kimaarifa.
 
Duh! Kwaiyo rais alivyoandika frustration hakuwa makini na ni mpumbavu?

Katika Kanuni za Kiuandishi popote pale duniani neno la Mkuu wa nchi huwa halianzi kuandikwa kwa herufi ndogo kama ulivyoandika Wewe ' rais ' na badala yake walioenda Shule na Vyuoni kupikwa vyema Kitaaluma na kujua vyema Ueledi wao hundika ' Rais '. Kumbe hata Wewe neno kama ' Frustration ' unalijua? Naona sasa hivi Kamusi ( Dictionary ) haipo mbali na Wewe hapo. Nitakuharibu na Kukutesa mno ' Kisaikolojia ' usiku huu hadi ujute kuifahamu hii ID hakyanani.

Sasa kama neno ' Frustration ' umeweza kulipatia kuliandika japo sidhani hata kama unajua maana yake vizuri kwanini unashindwa tu kunipa tofauti ya neno lako lile uliloliandika huku mwenyewe ukijua kabisa kuwa umelipatia la Easy na kuliacha lile sahihi la Essay?

Nasubiri kwa hamu sana majibu yangu.
 
Huwezi badili nachokiamini, na ukweli ni kwamba wewe bwege 'Gentafucking' umepoteza ushawishi katika watu waliokua na heshima humu JF ,kama mimi ni wakwanza kusema hili basi wapo watakaofuata maana umekua mtusi na mtu mwenye dharau sasa dawa yako kukudharau zaidi maana hautakuwa wa maana zaidi ya kutusi watu na kudharau.. Utajikuta mchangiaji tu acha dharau boss kupewa heshima haimaanishi umewazidi watu kielimu au kimaarifa.

Nyota ya GENTAMYCINE inawatesa na itazidi tu kuwatesa. Unaposema kuwa nilikuwa napewa Heshima kwani nilipojiunga humu niliomba nipewe Heshima? Hivi Mtu asiyekuwa na Heshima anaweza kupata ' Likes ' zenye idadi hiyo hapo juu? Tena bora Mimi umeniita Bwege tu ila kwa maelezo yako haya unaonyesha kabisa kuwa Wewe ni bonge la ' Bwege Nazi '. Haya maelezo yako ' uliyoyatapika ' hapa sijaanza kuyasikia leo lakini nashangaa ni wale wale / nyie nyie ambao nikianzisha tu threads humu mnazifungua upesi na wengi wenu hadi mnanipa ' Likes ' kila uchao sasa kama mnajua fika kuwa sina Heshima humu kwanini huwa mnahangaika na Mimi? Hivi katika hili nikiwaita ' Wapumbavu ' nitakuwa nakosea? Hivi unajua kabisa kuwa fulani hana Heshima unaweza kweli ukapoteza muda wako kumfuatilia na hata kujibizana nae? Kumbe ninavyowadharau wala huwa sifanyi makosa na kuhusu Mimi kuwa na dharau nikuambie kuwa wala hujakosea kwani kweli nina dharau tena Kali mno na usiombe nikakudharau kwani unaweza ukajiona ni Kinyesi / Mavi kabisa. Kwani hiyo Elimu au haya Maarifa yangu makubwa na Wewe umeshindwa labda kuwa nayo? Hivi nyie Watu kwanini mna uwezo mdogo hivi wa Kujenga Hoja mbele ya Critical Thinker GENTAMYCINE?
 
Mbona hujajibu nilicho kuuliza sister?

Aliyeandika frustration kule Twitter ni mpumbavu?

Swali halijibiwi kwa swali tafadhali sawa? Naomba ufafanuzi wa neno lako la ' Easy ' na hili linalojulikana na wenye akili la ' Essay ' halafu Mimi sipo huko Twitter Kwenu hivyo usiniletee hapa habari za Twitter na tujadili haya ya JamiiForums hapa hapa. Usihamishe goli tafadhali. Usiku huu mbona ' nitakukomesha ' Mkuu. Umekutana na Bingwa kama siyo Mbobezi wa ' Psychological War ' hivyo kaa vizuri upate ulichokuwa ukikitafuta kwa muda mrefu sana Kwangu ili siku zingine ukija Kwangu uwe na adabu zote kama Wenzako ' Majabali ' wa Jamvi hili niliowanyoosha na sasa wamekaa mbali na ID hii na hata wakija huja na nidhamu zao zote.
 
Mwanaume anaomkojoza mwanamke kujisifia kuwa ana nyota Kali ni ushoga wa kiwango cha bombadier

Huu ndiyo ufafanuzi wako wa tofauti ya maneno lile lako la Easy na letu wenye akili zilishotosheleza la Essay? Halafu nashukuru sana kwa sasa hivi kuweza kunisaidia niweze kujua kuwa kuna uwezekano mkubwa sana Wewe ukawa ni ' Shoga ' kweli kwani hii ni mara ya Nne kama siyo ya Tano unazungumzia sana masuala ya ' Kukojozwa ' mara ' Ushoga ' vipi Mkuu unawajibika huko ili labda nikutafutie Wateja?
 
Dada zangu mtanisamehe sana ila niwaambieni tu kuwa ni matendo yenu ndiyo yanatufanya Sisi Wanaume hasa Mimi GENTAMYCINE nizidi ' Kuwapuuza ' hasa kutokana na wengi wenu kuwa na uwezo mdogo wa Kuchanganua mambo, Kufikiri na Kujieleza ili ' Great Thinkers ' tunaowatizana tuone kuwa nanyi ' Vichwani ' mwenu mpo vizuri.

Kupitia Kipindi cha SHILAWADU kinachoendelea hewani sasa huyu Mwanadada Mpenzi wa Msanii wa Maigizo Ray Kigosi aitwae Chuchu Hans ametegwa swali dogo tu kuwa labda ni kwanini hadi hivi sasa haishi pamoja na Ray Kigosi na jibu lake alilotoa ndilo limenifanya nije na kuwaambia Wanawake kuwa bado wana safari ndefu katika kuweza kutumia vyema IQ's zao vinginevyo tutaendelea ' Kuwapuuza ' hadi Kiama kitakapokuja.

Huku akijua kabisa kuwa kwanza ameshatenda ' dhambi ' kubwa ya Kuzaa nje ya Ndoa na Ray Kigosi huku hapo hapo tena akiwa ' amemsaliti ' Mume wake wa Ndoa kabisa aishiye nchini Australia kwa sasa Mwanadada huyu Chuchu Hans alijibu kwamba hawezi kuishi pamoja na Ray Kigosi kwakuwa bado hajafuata Sheria za Dini ili awe nae na pia bado hawajakubaliana katika Dini kwamba ni nani kati yao amfuate mwenzake Kiimani kwani wote wawili ni Dini tofauti Chuchu akiwa ni Muislamu na Ray ni Mkristo.

Nawaombeni kuwaulizeni Members wa JamiiForums ambao nawakubali 100% kuwa wengi wenu ni Great Thinkers tena mliotukuka kabisa hivi hii ' Kauli ' ya ' Kipuuzi ' ya huyu Mwanadada Chuchu Hans alitakiwa aitoe akiwa bado hajazaa na Ray huku wakijua kabisa kuwa ' wanazini ' ili kumtumikia vyema Mwenyezi Mungu au hivi alivyoitoa sasa baada ya Kuzaa na Ray ndiyo yupo sahihi?

Hivi ili uonekane kuwa upo makini na unajua unachokifanya hadi Watu wasiwe na mashaka na uwezo wako wa Kufikiri kwa mfano ukishajua kwamba katika ' Kichaka ' fulani kuna Nyoka wakali mno tena wenye Sumu kubwa unapashwa uchukue tahadhari nao kabla hawajakuuma au unatakiwa ungojee Kwanza wakukong'oli / wakuume kisha udhurike ndipo sasa uwe nao makini pamoja na hicho Kichaka?

Dada zangu mnaniangusha sana hebu jitahidini mno kutumia IQ's zenu vyema ili tusiwadharau.

Nawasilisha.
wewe ndio umekurupuka kutokana na hisia zako binafsi, umesahau kuwa hakuna binadamu mkamilifu hivyo yeye kuzalishwa isiwe sababu yakujipeleka ndani akat mambo ya msingi kama dini bado hayajakaa sawa, embu jaribu kutengeneza facts hata maana umeandika upupu tu afu unajikuta GreatThinker
 
Katika Research Principles Chuchu Hans anaweza pia akatumika kama Sample mojawapo ya Wanawake wa Kizazi hiki na kumuweka au kumtumia Yeye kamwe haimaniishi kwamba Wanawake wote 100% mnafanana nae japo anawakilisha wengi wenu. Kitaaluma nilichokiwasilisha hapo nipo nacho sahihi kabisa. Sikujua kama na Wewe unaweza ukawa na aina hii ya ' udhaifu ' wa kujua Kutafakari vizuri kama Great Thinker. Umeniangusha mno!

Kwa perception yangu kwako, acha nikuangushe na nikupe KO kabisaaaa.
 
Nilikuwa mwenyewe naangalia hicho kipindi alipojibu hilo swali ikabidi nicheke tu. Dini haimruhusu lakini kagegedwa na mimba kawekwa na bado ataendelea kugegedwa. Swali lilikuwa simpo sana ila kalijibu hovyo!!!
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] hamna mkuu daa mie wangu kwanza kumsimlia mambo yasio muhusu anakwambia huna ya kwako chukua laptop sikiliza hata mziki, niliwahi kuta mkaka anasutwa na wadada, nikamuita wewe vipi ndiyo kumtoa pale kisa alisema yasio muhusu
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Dada zangu mtanisamehe sana ila niwaambieni tu kuwa ni matendo yenu ndiyo yanatufanya Sisi Wanaume hasa Mimi GENTAMYCINE nizidi ' Kuwapuuza ' hasa kutokana na wengi wenu kuwa na uwezo mdogo wa Kuchanganua mambo, Kufikiri na Kujieleza ili ' Great Thinkers ' tunaowatizana tuone kuwa nanyi ' Vichwani ' mwenu mpo vizuri.

Kupitia Kipindi cha SHILAWADU kinachoendelea hewani sasa huyu Mwanadada Mpenzi wa Msanii wa Maigizo Ray Kigosi aitwae Chuchu Hans ametegwa swali dogo tu kuwa labda ni kwanini hadi hivi sasa haishi pamoja na Ray Kigosi na jibu lake alilotoa ndilo limenifanya nije na kuwaambia Wanawake kuwa bado wana safari ndefu katika kuweza kutumia vyema IQ's zao vinginevyo tutaendelea ' Kuwapuuza ' hadi Kiama kitakapokuja.

Huku akijua kabisa kuwa kwanza ameshatenda ' dhambi ' kubwa ya Kuzaa nje ya Ndoa na Ray Kigosi huku hapo hapo tena akiwa ' amemsaliti ' Mume wake wa Ndoa kabisa aishiye nchini Australia kwa sasa Mwanadada huyu Chuchu Hans alijibu kwamba hawezi kuishi pamoja na Ray Kigosi kwakuwa bado hajafuata Sheria za Dini ili awe nae na pia bado hawajakubaliana katika Dini kwamba ni nani kati yao amfuate mwenzake Kiimani kwani wote wawili ni Dini tofauti Chuchu akiwa ni Muislamu na Ray ni Mkristo.

Nawaombeni kuwaulizeni Members wa JamiiForums ambao nawakubali 100% kuwa wengi wenu ni Great Thinkers tena mliotukuka kabisa hivi hii ' Kauli ' ya ' Kipuuzi ' ya huyu Mwanadada Chuchu Hans alitakiwa aitoe akiwa bado hajazaa na Ray huku wakijua kabisa kuwa ' wanazini ' ili kumtumikia vyema Mwenyezi Mungu au hivi alivyoitoa sasa baada ya Kuzaa na Ray ndiyo yupo sahihi?

Hivi ili uonekane kuwa upo makini na unajua unachokifanya hadi Watu wasiwe na mashaka na uwezo wako wa Kufikiri kwa mfano ukishajua kwamba katika ' Kichaka ' fulani kuna Nyoka wakali mno tena wenye Sumu kubwa unapashwa uchukue tahadhari nao kabla hawajakuuma au unatakiwa ungojee Kwanza wakukong'oli / wakuume kisha udhurike ndipo sasa uwe nao makini pamoja na hicho Kichaka?

Dada zangu mnaniangusha sana hebu jitahidini mno kutumia IQ's zenu vyema ili tusiwadharau.

Nawasilisha.
Ana akili fupi sana...
Hata muvi wanazocheza hazina mafunzo zaidi ya kutangaza biashara.
Bora angekaa kimya tuu... pamoja na ray nae ni kichwa panzi shwaini... unasalitije na unazaaje na mke wa mtu? hata hofu ya Mungu hamna?
Rubbish... ndio maana maafa yamezidi sana hizi nyakati kumbe ni kutokana na dhambi za wahusika wenyewe.
 
Back
Top Bottom