Kwa jibu hili la Mpenzi wa Ray Kigosi Mrembo Chuchu Hans, Wanawake mkizidi kudharauliwa mtalaumu?

wewe kweli greatthinker me mwenyewe najiulizaga sana maswali hasa kwa dada zetu hawa utakuta anakuwa na mahusiano mfano din tofauti na mbaka anafikia kuzaa na mwanaume ikija swala la ndoa sasa hapo din zinaanza kuwagawa najiulizaga tu hivi wanavyoanza mahusiano hawawazagi hilo mfano linah huyo chuchu anajishauwa tu mbona na frank waliowana kwa din ya kikristo ray anauwezo kabisa wa kumbadili huyo sema demu anajishahuwa tu coz mbaka sasa ray kubadili din ni ngumu coz mtoto tayari ni mkristo hata jina tu linajieleza tatizo tangu mwanzo mnapanga kabisa mbaka din ili mjue mnaendaje
 
Kwanza hujamuelewa chuchu hakumsaliti mumew ila mumewe ndiye aliyemsaliti kaenda Australia kisha akoa mke wa din nyingine
huyo demu anazuga frank hakuwahi kubadili din tangu mwanzo ni mkristo hata chuchu waliowana kikristo demu alimpenda sana mchizi na amezaa naye watoto wazuri wa kike
 
Yaani hii ni sawa na ile ya Jokate alivyokuwa akimng'ang'ania Ali Kiba wakati akitambua fika kwamba wao ni dini tofauti.
 
Hivi kweli na we great thinker unaleta mada za shilawadu . .shida kichwani
Anyway huwezi sema wanawake wana iq ndogo sababu ya chuchu...huyo ni chuchu na maamuzi ni ya chuchu wanawake wengine wanahusika vipi apo kiongozi..
Na pia kama mtoto hawakujipanga wakapata...ulitaka watoe? Sioni shida alivojibu. ..si lazima mwanamke kuishi na wewe kama hujamuoa ni wazazi wa chache sana watakuachia binti yao ukae kama hujamuoa
 

Kwani kuna Sheria gani inayomkataza Mtu kuangalia Kipindi cha SHILAWADU? Rudi katika post yangu # 32 nimewajibu ' Wapuuzi ' wenzio mnaofanana upungufu wa akili. Na maelezo yako tu haya yameshanipa picha pana kwamba huenda hukuenda Shule na kama basi ulienda ulienda tu Kukua kama siyo kupoteza muda.

Hivi Intellectual mzuri kabisa na ambaye alilisoma na kulielewa vyema Somo la Research anaweza kusema kuwa GENTAMYCINE kuwajumuisha Wanawake wote kwa Kosa la Chuchu Hans ni Kosa? Halafu ni wapi labda nimesema kuwa ni Wanawake wote? Hivi unajua maana ya Sampling Wewe? Hivi unajua huyo Chuchu Hans anawakilisha Wanawake wa Class gani katika Jamii? Hivi ukizifuatilia vyema types za Research zote hii niliyoitumia ' Kumchambua ' Chuchu Hans siyo sahihi na haikubaliki Kitaaluma?

Namlaumu mno na sana Mwenyezi Mungu kwamba ni kwanini alitupa wachache ' akili ' nyingi na wengine hakuwapa kabisa.
 
Kwa perception yangu kwako, acha nikuangushe na nikupe KO kabisaaaa.

Ukishaniwazia hivyo labda napungukiwa na nini? Kuna chochote labda unachoniongezea katika maisha yangu? Na kama kumbe unaniona Mimi kivingine ni kwanini unaongoza kunipa ' Likes ' zako katika threads na posts zangu nyingi humu? Tena nikushauri tu kama ukiweza naomba uniweke katika ' Ignoring List ' yako. Sijazoea ' Unafiki ' na siwapendi pia ' Wanafiki '. Nimemaliza.
 
"Dada zangu mnaniangusha sana hebu jitahidini mno kutumia IQ's zenu vyema ili tusiwadharau."

Dada gani? Sema chuchu umeniangusha into shape. ..huwezi chukua mtu mmoja akaawakilisha rika la watu flani never. Wewe nseme chuchu kama chuchu
Na wewe zaa mtoto azalishwe na sense kuishi na aliemzalisha bila mahari wala ndoa ndo utajua kama ni vema au laaa. Mambo ya dini na maakubaliaano ya ray na chuchu si yanatusaidia nini mkuu. We baba wa mtu unajua
 
Nilikuwa mwenyewe naangalia hicho kipindi alipojibu hilo swali ikabidi nicheke tu. Dini haimruhusu lakini kagegedwa na mimba kawekwa na bado ataendelea kugegedwa. Swali lilikuwa simpo sana ila kalijibu hovyo!!!

Nashukuru na nafurahi sana kukutana na Members wachache humu JamiiForums ambao huwa wananielewa kama Wewe na wala sipati sana shida kujua kwamba hata uwezo wako wa IQ ni mkubwa mno. Siku zote ukiwa na akili za ' Punje ya Mchele ' huwezi ukawa unamuelewa GENTAMYCINE.
 

uwiiiiii.

sijawahi kukupa like.

sio kwa empty set zako.
 
Chukueni elimu hata kutoka kwenye mdomo wa mbwa

Mkuu wala wasikupe taabu hao wanadhani GENTAMYCINE kuangalia / kukodolea Kipindi cha SHILAWADU ni kujishisha hadhi yangu lakini wamesahau kwamba kupitia kuangalia hicho Kipindi Mtu makini na mwerevu anaweza akagundua mengi ya Kijamii na hata kuweza nae kutoa michango yake lakini pia hata kujifunza Kitu na kuchukua tahadhari fulani. Yaani kupitia Uzi huu Mkuu ndiyo nimejua uwezo mdogo wa IQ's za baadhi ya Members humu na najiuliza kama hapa tu wanakuwa ' Wapuuzi ' Vichwani hivi huko Mashuleni na Vyuo Vikuu walikopita walikuwa wanafaulu vipi Kitaaluma?
 
Ebu acha kufatilia maisha ya watu.

Ili sasa niwe nafuatilia ' unavyotambaliziwa ' au? Halafu mbona leo hujanitukania lile Tusi kubwa la Mama yangu kama ambavyo umekuwa ukifanya mara nyingi ama katika threads au posts zangu? Tatizo nini au Kulikoni leo umekuja Kinidhamu ya Kiuwoga hivi? Nakupa ruhusa naomba unitukane Mkuu kwani GENTAMYCINE napenda mno ' Kutukanwa ' na Members hao tayari nimeshaujua ' Upopoma ' wao na Wewe ukiwa ni mmoja wao.
 

Napenda sana kukutana humu na Watu makini na werevu Vichwani kama Wewe Mkuu. Heko sana na pia asante kwa kunielewa.
 
uwiiiiii.

sijawahi kukupa like.

sio kwa empty set zako.

Kwakuwa Mimi ni Mgeni na Wewe au? Nina ' Likes ' zako tena za kutosha katika baadhi ya threads na posts zangu. Sasa kama kumbe unajua kuwa sina chochote kinachokufanya kila uchao uchungulie ' threads ' zangu na hadi ' Kuzichangia ' humu Jamvini ni nini? Hivi inawezekana kweli ukawa unamchukia Mtu au unamuaona hana maana halafu hapo hapo ukawa unapoteza muda wako kumfuatilia?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

hujapataga likes aisee
 
Kumbe na tambo zako zoooote huwa unaangalia hicho kipindi??? Unafuatilia "wambea" wa duniani?? Unajua kabisa umbea ni uongo uliopanda lift. Usiku mwema
umbea sio uongo hapa umekosea. uongo ni mtu kusema jambo ambalo sio la kweli kabisa na umbea ni kule kusikia au kuona jambo la kweli lakini wewe kulichukuwa kulipeleka kwa mtu mwingine au watu. hawa jamaa wame mix wanachukuwa mambo ya ukweli na wanayapeleka katika njia za kimbea maana hayawahusu ila mara nyingi wanasikiliza story pande mbili ukweli unajulikana. kwa ufupi kuna tofauti ya uongo na umbea.
 
You're still showing your Foolishness.
Of course. Ur wise it' why u focus on ridiculous programs and are shocked that women refuse to live with a man till marriage. I reckon u urself are still toop young to understand the value of true commitment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…