Namlaumu mno na sana Mwenyezi Mungu kwamba ni kwanini alitupa wachache ' akili ' nyingi na wengine hakuwapa kabisa.
Of course. Ur wise it' why u focus on ridiculous programs and are shocked that women refuse to live with a man till marriage. I reckon u urself are still toop young to understand the value of true commitment
Cha intaneshno xul sio cha kikayumba ka wewee mkuuHongera kwa Kiingereza chako cha Kishule Shule na cha Kidato cha Pili.
NI KWA SABABU AMEANGALIA SHILAWADU NDIYO MAANA AMEKUJA NA MADA HII.
KUANGALIA/KUSOMA SIYO MBAYA KWANI HATA HUMU NDANI TUNASOMA 'UTUMBO' MWINGI TU LAKINI NDANI YAKE KUNA ELIMU NA HICHO NDIYO MUHIMU.
Acha kufuru mkuu. Mungu halaumiwi.
Cha intaneshno xul sio cha kikayumba ka wewee mkuu
mpe pole mkulu kwanzaGENTAMYCINE NA WEWE UNAANGALIA SHLAWADUU? POLE
eh eh boss hapa umefunguka kama LE-MUTUZ NYE-NYE-NYE ...ila kiongozi mara ya mwisho nacheki nilijua bado upo beach za cartagena -colombia au nawe umekuja jiandaa na ukuta wa tar 26Nashukuru kwa kusaidia kunielimishia ' Wapuuzi ' wa mfano wake huyo uliyemjibu ila nikushauri tu Mkuu kuwa siku zingine usiwe unapoteza nao muda kwani wapo wengi sana humu na bahati nzuri wote nawamudu vilivyo na ndiyo maana hata ukiangalia hapa utaona kuwa wale wote waliokuja Kwangu ' KichwaKichwa ' majibu yangu yamewafanya wote sasa wapotee na hata wengine wanajuta kunifahamu.
Yaani Mtu mzima kabisa na kila uchao humu anajinasibu / anajiita Great Thinker anakuambia kuwa hakuna umuhimu wa Mtu kuangalia Kipindi cha SHILAWADU halafu hapo hapo tena kuna ' Watu ' wanaofanana nae ' akili mbovu ' wanamuunga mkono.
Na ndiyo maana kuna mahala katika posts zangu nimewaambia kuwa kwa Mtu ambaye kweli ni Intellectual hasa, Researcher na Analyst mzuri kupitia tu kuangalia Kipindi cha SHILAWADU anaweza akapata mambo mengi ya Kimsingi na hasa yanayogusa Jamii zetu moja kwa moja lakini pia Kujifunza kitu fulani na hata kuchukua tahadhari kwa mambo mengineyo.
Sasa ndiyo nimeanza kumuamini Mbunge James Mbatia kuwa Elimu ya Tanzania iko ICU na ukweli tuna safari ndefu mno.
Kuna comment moja hapo umesema unamshukuru sana Mungu kwa kukubariki mambo 4. Hapo chini unamlaumu. Yeye kwa hekima zake na mjuzi wa mambo yote ndo mwamuzi kwa yote ndo ameumba hivyo. Hatuwezi kuwa sawa kiakili, mtazamo. Ndo maana kuna Walimu, Maprofesa, Madaktati, Matajiri, Masikini, Wafalme, Marais. Na kuomba kwa hisani yako elekeza hayo makombora kwa sisi binadamu na siyo muumba.Kwa aina ya Wanadamu ' Wapuuzi ' aliowaumba na wengi wao nawaona hata hapa hapa Jamvini Mkuu nadhani nina haki ya Kumlaumu.
Halafu wala hujakosea ni kweli kabisa kuwa Mimi GENTAMYCINE nimesoma Shule zote za Kikayumba hadi Vyuo Vikuu vyangu vitatu nilivyosomea Kozi zangu tatu za ' Kitaaluma ' ndani na nje ya nchi navyo vilikuwa vya Kikayumba tupu ila ninachoshangaa tu ni kwanini nina ' akili ' nyingi hivi hata kuliko nyie Watoto wa ' Kishua ' mliosoma huko sijui International na Academy?
Nenda kasome topic ya words formation utanue uelewa ulionaoKatika Kiswahili sanifu na fasaha kabisa huwa hakuna neno ' hujapataga '. Naona unazidi tu kuonyesha jinsi ulivyojaza ' maji taka ' katika mtima wako.
Ongea chako cha mkuuHongera kwa Kiingereza chako cha Kishule Shule na cha Kidato cha Pili.
Jpm anaangalia pia na anakipenda hicho kipindiGENTAMYCINE NA WEWE UNAANGALIA SHLAWADUU? POLE
Wa naniYou never know huenda hata huyo mtoto si wa Ray.Mastaa ni pasua kichwa.