This is Insane.....!
Mi sidhani kama kuna makosa yeyote ya mtu kuangalia Shilawadu Kisa kinaongelea umbea au udaku, na mnasema hivi ni vipindi vya kina mama na dada wa kazi wakati host ni wanaume kabisa hasa kwa nn tusiangalie kisa udaku , hivyo vipindi mnavyosema tusiangalie ni upuuzi mtupu vimejaa ushenzi tuu siasa za kipuuzii na visasi yan ushenzi...., watu wengine wamerudi Home wametulia wanaangalia chanel mnazo tulazimisha kuangalia but vitu wanavyoweka ni Always kumjadili mtu mmoja tuu, u brother man tu, kurudia habar ndo zao, sasa kwa tusiangalie....
SHILAWADU na kuskiliza Leo Tena , Uhondoo ili Kupunguza stress
Nenda Uingereza uone udaku unavyofanya kazi na yale Magazeti yao