Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Tena ni kipindi chake pendwayule mkubwa zaid anaangalia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena ni kipindi chake pendwayule mkubwa zaid anaangalia
Nenda kasome topic ya words formation utanue uelewa wako mdogo ulionao dada angu hujui kuwa unaweza kuanzisha neno na likaingia kwenye matumizi ya lugha kwa kutohoa indirect?
Nenda kasome topic ya words formation utanue uelewa wako mdogo ulionao dada angu hujui kuwa unaweza kuanzisha neno na likaingia kwenye matumizi ya lugha kwa kutohoa indirect?
Tena ni kipindi chake pendwa
Huyo mumewe kwenda kuishi Australia na kumuacha mke TZ maana yake nini? Kama walishapigana chini basi hakuna usaliti hapo!
Ukiendelea na hizo tabia, hautakuja kuoa kamwe.
Anamuunga Mkono NanihiiGENTAMYCINE NA WEWE UNAANGALIA SHLAWADUU? POLE
Kama ni huyu zee la masifa Mimi sina cha kucomment
Tatizo Lugha gonganahahaa waakti wenzake wanaanalia CNN,BCC,VOA ye anapinduka na shilawadu!teh
Hiyo lugha ilikuja na meli best wapi na wapihahaa waakti wenzake wanaanalia CNN,BCC,VOA ye anapinduka na shilawadu!teh
Huko Australia alioa kabisa sasa yeye afanye nini kisa ni mwanamke sio jamaniHuyo mumewe kwenda kuishi Australia na kumuacha mke TZ maana yake nini? Kama walishapigana chini basi hakuna usaliti hapo!
Ndiyo alisema hivyoKumbe frank alimuoa kabisa chuchu
[emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mfano mwanao anakuuliza, "baba unaangalia kipindi gani" utam jibu nini!?