Kwa jicho la pekee hebu tutazame projects mbalimbali za hayati Ruge Mutahaba

Campaign zote za Clouds ni Idea zake,,Alikua M'noma sana uyu dingilii...R.I.P
Zingine sio zake kama hiyo Ndondo Cup ila alikuwa mwepesi kupokea wazo na kuwezesha lifanikiwe kama hiyo Ndondo Cup.
 
Na wachezao kamali na wachezeshaji sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto.
Mwenzio kapata nafasi ya kutubu dhambi zake na kuongozwa sala ya toba na Mtumishi wa Mungu na kumpokea Mungu, ni dhahiri anakwenda mahali patakatifu kwa mujbu wa maandiko. Wewe unajua kama hiyo nafasi utaipata?? R.I.P boss Ruge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesahau kampeni ya "WATOTO MIA MOYO" iliyofanikisha watoto 150 kufanyiwa upasuaji wa mioyo katika taasisi ya Moyo ya JK

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ki ukwel jamaa anapata sifa zingine si zake. Alichokua anafanya ruge ni kwekeza katika kuanzisha/ kujuisha idea coz alikua ana uwezo. Mfano ni hiyo bibi bomba, idea kaiskiliza toka kwa mtu, akaita vijana wake wa creative team wakaiweka alivyotaka yeye.

Alichokua anafanya jamaaa ni kukusikiliza, halaf anaenda kuitwist, then anainitiate.

Mi namuita mjanja mjanja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…