cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,756
- 5,250
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
japo wapo wanaomchukia
Zingine sio zake kama hiyo Ndondo Cup ila alikuwa mwepesi kupokea wazo na kuwezesha lifanikiwe kama hiyo Ndondo Cup.Campaign zote za Clouds ni Idea zake,,Alikua M'noma sana uyu dingilii...R.I.P
Na wachezao kamali na wachezeshaji sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto.Tatu mzuka ni kamari, na kamari ni haramu.
Wavumilie kwa muda kidogo akishawekwa kwenye nyumba yake ya milele wajitanue sasa maana unyonyaji hautakuwepojapo wapo wanaomchukia
nahisi watakuwa matajiri sanaaaWavumilie kwa muda kidogo akishawekwa kwenye nyumba yake ya milele wajitanue sasa maana unyonyaji hautakuwepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda ni rafiki mzuri hadanganyagi hata kidogonahisi watakuwa matajiri sanaaa
Mwenzio kapata nafasi ya kutubu dhambi zake na kuongozwa sala ya toba na Mtumishi wa Mungu na kumpokea Mungu, ni dhahiri anakwenda mahali patakatifu kwa mujbu wa maandiko. Wewe unajua kama hiyo nafasi utaipata?? R.I.P boss RugeNa wachezao kamali na wachezeshaji sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto.
Umesahau kampeni ya "WATOTO MIA MOYO" iliyofanikisha watoto 150 kufanyiwa upasuaji wa mioyo katika taasisi ya Moyo ya JK1.smooth vibes project
Hapo walifanikiwa kutoka kimuziki wanamuziki mbalimbali kama jaydee,rayc q chief, mr paul, pauline zongo stara thomas, k basil
2.prime time promotion
Hapa tuliweza kupata matamasha mbali mbali Kama summer jam fiesta na maonyesho ya wanamuziki kenda toka nje ya nchi achilia mbali kusimamia zinduzi kadhaa za album za wanamuziki wa tz
3.piga kura au pigika
Kampeni ya uchaguzi mkuu 2005 ambayo ilimsaidia sana jk hapo ndio ule msemo wa mtoto wa jah kaya ulipoanza
4.THT
Haina haja ya kuzungumzia
5.Malaria no more
Akiwa na bwana makamba
6.kamatia fursa
Hapo wote mnajua impact yake
7.hapa kazi tu
Kauli mbiu aliitoa ruge akisema hapa ni. Kazi tu kabla ya diamond kuboresha kidogo kwa kusema hapa kazi tu wakati wanajiandaa kutengeneza matangazo kwenye uchaguz ule ruge aliratibu mambo mengi sana makamba anajua
8.diamond forever
Onyesho lililompa umaarfu mkubwa diamond ndani ya mliman city na kiwa onyesho la kwanza kuwa na kiingilio bei kidogo
9.Nyumba ni choo
Kampeni ambayo mpaka sasa inaendelea
10.vijana think tank
Na kwa kumalizia
Tatu mzuka ni ya kwake
HakikaUmesahau kampeni ya "WATOTO MIA MOYO" iliyofanikisha watoto 150 kufanyiwa upasuaji wa mioyo katika taasisi ya Moyo ya JK
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukizikwa unazikwa kidini au kibizinesi vencha?
Ukizikwa unazikwa kidini au kibizinesi vencha?
11. Bibi bomba
12. Ndondo Cup
13. Mapenzi mubashara ( valentine day's special)
14. Malkia wa nguvu ( international women's day special)
15. Kipepeo
16. Super Nyota ( Young killa aliibukia huku)
17. Mama ongea na mwanao (kampeni 2015, ikiongozwa na steve nyerere na wema sepetu)
Nb.. vijana think tank sio project ya ruge...
Sent using Jamii Forums mobile app