Kwa jinsi John Heche alivyoshambuliwa Twitter, ni wazi wafuasi wa upinzani sasa wanataka action na si kusikia viongozi wao wanalalamika

Ha ha ha ha waingie mtaani wakione kilichomtoa kanga manyoja. Mkisikia tumejipanga mjue tumejipanga.
 
Chadema hatukujipanga juu ya huu uchaguzi. Lissu kajitaidi ila hana wa kumsaidia
Lawama zote kwa Mwenyekiti wa saccos. Dude lile halijali jombaa, Leo chama kinamfia mikononi. Watakao bahati ubunge watakamuliwa mpaka macho.
 
Yani dah.... inakera asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…