Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Tanzania badala ya kuwa na long-run strategies dhidi ya Corona tupo busy kudemka!😄😄😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chukua kinywaji unachotaka nitakuja kulipaMsitutishe hiyo corona iko wapi?
Kila siku corona this corona that wakati si tunaishi fresh; tumejaa masokoni, tumejaa kwenye daladala nyie mmejifungia kwenye magari na barakoa lakin hakuna maajabu yoyote, wala hospital hazijajaa wala hakuna mizoga inayookotwa barabarani.
Unasubiri mpaka hospitali zijae?,itakua too lateMsitutishe hiyo corona iko wapi?
Kila siku corona this corona that wakati si tunaishi fresh; tumejaa masokoni, tumejaa kwenye daladala nyie mmejifungia kwenye magari na barakoa lakin hakuna maajabu yoyote, wala hospital hazijajaa wala hakuna mizoga inayookotwa barabarani.
Hakuna cha too late wala too early, corona ni ugonjwa wa kwenye media ,period.Unasubiri mpaka hospitali zijae?,itakua too late
Hakuna Kirusi kipya cha corona. Corona ni yule yule, kama anaua India basi anaua popote duniani. Hajaanzia India.Tafadhali Mamlaka husika chukueni Tahadhari haraka kwani tayari Kirusi hatari na Kipya cha Corona kilichopo nchini India kimeanza Kusambaa Kwetu barani Afrika.
Mpaka sasa Kirusi hiko kimefika nchi za Nigeria, Algeria, Congo Brazaville, Kenya, Uganda, Morocco na Afrika Kusini kwa mujibu wa Kipindi kizuri cha Nipashe cha Radio One asubuhi ya leo.
Kuna Mtu (nimemsahau) alitudanganya kuwa Tanzania tupo salama na tusiogope huku akisema Corona haipo Tanzania hivyo namuomba Rais Samia nae asitudanganye na ikiwezeka hatua Kali za Kudhibiti zianze Kuchukuliwa sasa.
Yaani kiwe Kenya na Uganda (kwa Majirani zetu) halafu Tanzania kisiwepo? Kikiwa hakipo najitolea Kuogelea Baharini kutoka Dar es Salaam hadi Zanzibar.