#COVID19 Kwa jinsi kirusi cha Corona cha India kinavyosambaa sasa Afrika, nikiambiwa hakijafika Tanzania nitashangaa

Tanzania badala ya kuwa na long-run strategies dhidi ya Corona tupo busy kudemka!πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Watakaoathirika ni wazee, wenye magonjwa na mabonge ndio maana wengine hawajali.
 
Ngoja kwanza nile Eid halaf nijue kama kipo au hakipo..

KichWa BoX
 
Chukua kinywaji unachotaka nitakuja kulipa
 
Unasubiri mpaka hospitali zijae?,itakua too late
 
Hivi kile kirusi kipya kilichogundulika kwa watanzania waliokua wanasafiri huko Afrika ya kati kiliishia wapi?
 
Swala la corona chukua tahadhari wew binafsi sisi wengine tumechagua kuishi nayo.
 
Kenya na Tanzania ni nchi tofauti moja ni ya 'kibeberu' na ingine ni ya kibongo.
 
Unasubiri mpaka hospitali zijae?,itakua too late
Hakuna cha too late wala too early, corona ni ugonjwa wa kwenye media ,period.


Tangu mwaka jana ,tulipewa miez miwili na WHO kwamba tutaokota mizoga barabarani ...vipi huko kwenu mshaanza kuiokota?!

Kila siku mara kirusi cha uingerera sijui brazil, naona cha south africa kimepoa saivi ni cha India kipo sokoni ...baada ya miez 2 au 3 utaskia cha Somalia ,upuuzi tu.
 
Hakuna Kirusi kipya cha corona. Corona ni yule yule, kama anaua India basi anaua popote duniani. Hajaanzia India.

Nani alikwambia Tanzania hakuna hicho kirusi? mpaka mbuzi wanacho, mpaka mapapai yanacho. kwa kauli za Rais aliyetangulia mbele ya haki.


Vipi leo kiwe "cha India"? Kwanini isiwe cha Tanzania kimeenda India? Tusiwe wavivu kufikiri na kuandika kiubaguzi.

Kirusi hakichagui huyu wa nchi ipi au wa kabila ipi, kikikuvaa kimekuvaa, au upone au ufe.


Tafuta chanzo cha hicho Kirusi ndio useme Kirusi cha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…