Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,596
- 5,584
Maendeleo hayana vyama... sote tunajenga nchi moja!!! Wako watanzania zaidi ya wengine ila "hatubaguani!!"Umehamia CCM kuunga mkono juhudi za kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani?kwani maendeleo ni Hisani za CCM au ni pesa za walipa kodi?