Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,596
- 5,584
Maendeleo hayana vyama... sote tunajenga nchi moja!!! Wako watanzania zaidi ya wengine ila "hatubaguani!!"Umehamia CCM kuunga mkono juhudi za kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani?kwani maendeleo ni Hisani za CCM au ni pesa za walipa kodi?
Hali ya uchumi imekuwa mbaya sana vijana hawana ajira, watu hawana fedha, chuki imetamalaki, wewe utakuwa dunia ipi?Wakuu baada ya kutafakari kwa Kina na Kazi kubwa iliyofanywa na Rais Magufuli kwa Miaka 5 mi binafsi nahamia CCM, naomba CHADEMA wenzangu Mniunge mkono huku niendako.
Yale tuliyokua tunayapigia Kelele kwa miaka yote sasa yamekua yanatakelezeka chini ya Mheshimiwa Magufuli Sina Sababu ya kumpinga kwa sasa ampingaye ana lake Jambo vijana wenzangu twendeni na Magufuli 2020.
Mni PM namba zenu tutengeneze Group!
Chadema haijawahi kupigania ukosefu wa ajira , mauaji na utekajiWakuu baada ya kutafakari kwa Kina na Kazi kubwa iliyofanywa na Rais Magufuli kwa Miaka 5 mi binafsi nahamia CCM, naomba CHADEMA wenzangu Mniunge mkono huku niendako.
Yale tuliyokua tunayapigia Kelele kwa miaka yote sasa yamekua yanatakelezeka chini ya Mheshimiwa Magufuli Sina Sababu ya kumpinga kwa sasa ampingaye ana lake Jambo vijana wenzangu twendeni na Magufuli 2020.
Mni PM namba zenu tutengeneze Group!
TUKUUNGE MKONO KWENYE UJINGAWakuu baada ya kutafakari kwa Kina na Kazi kubwa iliyofanywa na Rais Magufuli kwa Miaka 5 mi binafsi nahamia CCM, naomba CHADEMA wenzangu Mniunge mkono huku niendako.
Yale tuliyokua tunayapigia Kelele kwa miaka yote sasa yamekua yanatakelezeka chini ya Mheshimiwa Magufuli Sina Sababu ya kumpinga kwa sasa ampingaye ana lake Jambo vijana wenzangu twendeni na Magufuli 2020.
Mni PM namba zenu tutengeneze Group!
Wakuu baada ya kutafakari kwa Kina na Kazi kubwa iliyofanywa na Rais Magufuli kwa Miaka 5 mi binafsi nahamia CCM, naomba CHADEMA wenzangu Mniunge mkono huku niendako.
Yale tuliyokua tunayapigia Kelele kwa miaka yote sasa yamekua yanatakelezeka chini ya Mheshimiwa Magufuli Sina Sababu ya kumpinga kwa sasa ampingaye ana lake Jambo vijana wenzangu twendeni na Magufuli 2020.
Mni PM namba zenu tutengeneze Group!
Una haki ya kufanya hivyo maana umeachiwa mlo wa kutosha.Wakuu baada ya kutafakari kwa Kina na Kazi kubwa iliyofanywa na Rais Magufuli kwa Miaka 5 mi binafsi nahamia CCM, naomba CHADEMA wenzangu Mniunge mkono huku niendako.