Kwa jinsi mbunge Tabasamu alivyomchongea DED Magesa kwa waziri Jafo ni wazi kuwa Wakurugenzi hawakupendelea CCM!

Kwa jinsi mbunge Tabasamu alivyomchongea DED Magesa kwa waziri Jafo ni wazi kuwa Wakurugenzi hawakupendelea CCM!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Waziri wa Tamisemi mh Jaffo alikuwa ziarani wilayani Sengerema ndipo mbunge wa jimbo hilo mh Tabasamu akamchongea mkurugenzi Magesa kwa matumizi mabaya ya ardhi pamoja na fedha za wafadhili.

Jafo amelikabidhi suala hilo Takukuru.

chanzo: Clouds tv

My take; Kama wabunge wa CCM walipendelewa na wakurugenzi wakati wa uchaguzi kwanini Tabasamu amgeuke Magessa!

Maendeleo hayana vyama.
 
Kwamba aliiba kura sio leseni ya kukwapua fedha za miradi ya wananchi.
 
Tabasamu hana elimu, kwani kashindwa kuelewa kuwa maamuzi yote yaliyochuliwa na mkurugenzi yalipitishwa na vikao halali vya madiwani, mkuu wa wilaya ya sengerema katoa ufafanuzi wa hali ya juu, kuwa kika kitu kiliamuliwa kwa kuzingatia sheria
 
Tabasamu hana elimu,kwani kashindwa kuelewa kuwa maamuzi yote yaliyochuliwa na mkurugenzi yalipitishwa na vikao halali vya madiwani,mkuu wa wilaya ya sengerema katoa ufafanuzi wa hali ya juu,kuwa kika kitu kiliamuliwa kwa kuzingatia sheria
Sasa kwani Jafo kayapeleka Takukuru
 
Hawakupendelewa, walipitishwa na NEC kwa amei kutoka juu.
 
Waziri wa Tamisemi mh Jaffo alikuwa ziarani wilayani Sengerema ndipo mbunge wa jimbo hilo mh Tabasamu akamchongea mkurugenzi Magesa kwa matumizi mabaya ya ardhi pamoja na fedha za wafadhili.

Jafo amelikabidhi swala hilo Takukuru.

Source Clouds tv

My take; Kama wabunge wa CCM walipendelewa na wakurugenzi wakati wa uchaguzi kwanini Tabasamu amgeuke Magessa!

Maendeleo hayana vyama.
Una ushaidi?
 
Kwani wakurugenzi waliipendelea CCM kwa makubaliano? Wao waliagizwa wawatangaze wagombea wote wa ccm, na kama mtu hataki aache kazi. Sasa huyo Tabasamu yeye hajui maagizo hayo, yeye kwake anatengeneza kiki yake maana hakuna wapinzani wa kumpatia credits.
 
"Amemchongea"?Ikidhibitika kuwa kweli anatumia vibaya fedha hizo,utakuja ufute hili neno "AMEMCHONGEA".
 
Back
Top Bottom