Kwa jinsi mbunge Tabasamu alivyomchongea DED Magesa kwa waziri Jafo ni wazi kuwa Wakurugenzi hawakupendelea CCM!

Kwa jinsi mbunge Tabasamu alivyomchongea DED Magesa kwa waziri Jafo ni wazi kuwa Wakurugenzi hawakupendelea CCM!

Tabasamu hana elimu, kwani kashindwa kuelewa kuwa maamuzi yote yaliyochuliwa na mkurugenzi yalipitishwa na vikao halali vya madiwani, mkuu wa wilaya ya sengerema katoa ufafanuzi wa hali ya juu, kuwa kika kitu kiliamuliwa kwa kuzingatia sheria
Hana elimu,elimu gani?
 
CAG akague. Halimashauri zifuatazo Kuna ufisadi mkubwa umefanyiwa na DED waliokuwepo wachunguzwe.1. Kilosa 2. Chunya 3. Nyangwale 4. Biharamulo 5. Moshi mjini 6. Simanjiro 7. Ikungi 8. Kahama 9. Nzera au geita vijijini 10. Ruangwa 11. Jiji la tanga 12. Kisarawe 13. Handeni 14. Karatu. 15. Kigoma ujiji 16. Meru 17. Rorya 18. Nzega mjini na vijiji.
Pia wamechaka chua fedha nyingi za uchaguzi mkuu 2020.
Halmashauri zimekuwa mchwa kwa kula fedha za serikali
 
Ruangwa?

Acha utani bhana au Kisarawe kwa mh Jaffo!!!
 
Waziri wa Tamisemi mh Jaffo alikuwa ziarani wilayani Sengerema ndipo mbunge wa jimbo hilo mh Tabasamu akamchongea mkurugenzi Magesa kwa matumizi mabaya ya ardhi pamoja na fedha za wafadhili.

Jafo amelikabidhi suala hilo Takukuru.

chanzo: Clouds tv

My take; Kama wabunge wa CCM walipendelewa na wakurugenzi wakati wa uchaguzi kwanini Tabasamu amgeuke Magessa!

Maendeleo hayana vyama.

Ya kuwa huu nao ni ushahidi usioacha shaka yoyote.

Kweli dunia inakwenda kasi kweli kweli.
 
Shetani hana rafiki, acha waoneshane makali.
 
Back
Top Bottom